ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Limeenda shule,lbd ndo na mimi ni mshamba pia.[emoji16]Nimependa pozi la gabo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limeenda shule,lbd ndo na mimi ni mshamba pia.[emoji16]Nimependa pozi la gabo
Sasa ushamba uko wapi?? Yeye alitaka afanyeje??Hit maker wa ngoma ya bora iwe Rommy Jones ambaye amemshirikisha Baraka the prince mpenzi halali kabisa wa ex wa Mr Blue hapa namzungumzia Naj , Rommy Jones ameibua hisia za chuki kwa baadhi ya mashabiki wa Gabo Zigamba baada ya kumwita Gabo kwamba ni mshamba aliyepitwa na wakati .
Kauli hii baadhi ya wadau waiisapoti huku wengine wakiwa wamechukizwa sana na kauli hiyo na kuwambia Rommy Jones aache tabia za kike kwa kuwa haipendezi kwa mwanaume kumdhalilisha mwanaume mwenzake mbele za watu.
Rommy alimwita hivyo Gabo baada ya Wema Sepetu kupost picha akiwa na Gabo na Wema akaandika BEST ACTOR & ACTRESS 2018 , ila kutokana na pozi la kiajabu ajabu alilokuwa ameweka Gabo ambalo kwa haraka haraka ilikuwa inaonesha kama anamuogopa Wema ,Rommy hakusita kumchana Gabo kwa kuzubaa zubaa na akamuita ni mshamba sana Gabo japo kwa sasa anajifanya mtoto wa mjini.
Wadau mbalimbali mpaka sasa bado wanasubiri kuona Gabo atamjibu Rommy kutokana na kudhalilishwa na Rommy .
View attachment 764076
Acheni kulazimisha mambo nyie..... Mpaka dakika hii Gabo hajaonesha ushamba wowote kwenye picha hii.Muangalie vizuri Gabo
SawaAcheni kulazimisha mambo nyie..... Mpaka dakika hii Gabo hajaonesha ushamba wowote kwenye picha hii.
Gabo ni mmoja kati ya wasanii wachache mno ambao ni exposed kiasi cha kutosha.
Kichwani Yupo vizuri Sana kuliko hata wewe mleta mada.
Kwakweli sijaelewa!!Hivi umeelewaa mwenzangu??
Yeah...you better sleep because it is too late for you to be awake!Sa ndo nn??anyway let me sleep!!
lets sleep two gether..Sa ndo nn??anyway let me sleep!!
gado ni gentleman ..huyo rommy Jones ni slay boy" so hawezi kuelewa anachokifnya Gabo "" aache ushamba ..Anataka Gabo awe na pigo za kike kama anapakuliwa ""Muangalie vizuri Gabo
mond bora angemuachaga huyu boya nw angekuwa shoga aliyekubuh km james delicious...tid mzee kigogo rom alikuwa km dem wake..ashukur mond kumuokoa.Hit maker wa ngoma ya bora iwe Rommy Jones ambaye amemshirikisha Baraka the prince mpenzi halali kabisa wa ex wa Mr Blue hapa namzungumzia Naj , Rommy Jones ameibua hisia za chuki kwa baadhi ya mashabiki wa Gabo Zigamba baada ya kumwita Gabo kwamba ni mshamba aliyepitwa na wakati .