Romy Jones tishio jipya la waigizaji wa kiume hapa nchini

Romy Jones tishio jipya la waigizaji wa kiume hapa nchini

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Romy Jones au ukipenda muite Jordan , ni muigizaji wa kiume anayekuja kwa kasi sana hapa nchini mpaka kuwa tishio kwa waigizaji wakongwe.

Romy anajua sana kuuvaa uhusika sana sana scene za mapenzi huwa anazipatia balaa na kwa haraka haraka nikiangalia sidhani kama kuna muigizaji wa kiume anayemfikia katika ku act scene za mapenzi.

Mbali na kuwa anajua kuigiza, na muonekano wa kistaa pia una mbeba sana Romy.

romyjons-20190203-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanumba alikuwa muigizaji wa kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

!
!
Nakubaliana Na Wewe. Kanumba Alikuwa Wa Kawaida Mno Sema Alitangulia Na Kuwa Kati Ya Watu Wa Kwanza Kwanza Kuigiza Na Kwa Wakati Ule Wabongo Walikuwa Na Mwitikio Sana, Labda Kwa Sababu Ya Ushamba.
Kuhusu Romy Jones Sijui Jordan Ni Wake Wale Tu Full Kuforce. Hakuna Jipya Lolote Toka Kwake
 
Back
Top Bottom