Romy Jones tishio jipya la waigizaji wa kiume hapa nchini

Romy Jones tishio jipya la waigizaji wa kiume hapa nchini

Na mie nimemuona

Yupo vizuri

Nasubiri kazi zake zingine nione yupoje kizaidi
 
Ka
Muonekano wa kistaa ndio upi?
ma huo wa Rommy Jones hapo juu. Mleta mada, taja Movie alizocheza. Ili afanikiwe aingie kuchza movie nzuri tu sio za kutengeneza wiki moja!
 
Back
Top Bottom