Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kanumba alikuwa muigizaji wa kawaida sana.Kanumba kafa na Bongo movie yake.
Mzee Yusuph kastaaafu na Taarab yake.
Mpaka kuja kumpata wa kuziba mapengo hayo, sijui kama atatokea ndani ya karne hii.
Unasema???? Acha utani wewe. Labda kama ulikua na chuki binafsi