Romy Jones tishio jipya la waigizaji wa kiume hapa nchini

Watu kwa kusifia marehemu, mimi hizo movie za Kanumba simalizi dakika 5 kuangalia. Naona ushuzi tu
Nilijua ni mimi tu aisee,kumbe tupo wengi...
Yaani hizo movie za Kanumba siwezagi kumaliza hata dakika kumi kuangalia,yaani nikiangalia movie zake naona kabisa jamaa anaigiza...
Unajua raha ya movie ukiangalia inabidi usahau kama unachoangalia ni maigizo..!
Lakini Watanganyika wengine wanaona jamaa alikua fundi..!
 
Romi JONSI anashughulika na nini ukiacha huo "UTISHIO"?
 
Dah napata shida sana kujua jinsia ya huyu mtoa mada.. yaan kila siku nawaza kama ni MWANAUME, MVULANA, MWANAMKE AU MSICHANA...
NAVUTA PICHA ALISHONA NYUMA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitaaa wanadai jamaa chicha mwiba....kuna ukweli?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…