Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
simjui kwanza ndo namsikia leoUnamfaham George Wear? Mtu wa kwanza mwenye asili ya africa aliyechukua tuzo ya mchezaji bora wa Dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji41] Castrata ucheze vp ukiwa mweus tu au mwarabu we bac
simjui kwanza ndo namsikia leo
Cc:Etooapa tu tulipo inaambia dunia haidhaniwi siku za karibun kama kuna radha kama hii C 7 vs mess etoo washamsahau camp
Cc:Etoo
Wananikumbusha School ukiona swali hulijui unajitungia lingine lenye kufanana na hilo ambalo unalijua, unaanza kuflow kisha unaamuachia kazi MsahihishajiYan watu wametafuta mada yao, mtoa post kauliza nani anajua kuuchezea mpira wadau wameenda kwenye kusaidia timu kupata ushindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule mpira wa Dinho sio wa kufundishwa,ule ni kipaji toka kwa Mungu mwenyewe huko Akiko.
Kuna jamaa nimemuonesha hii clip hapa anasema Gaucho ni FreemasonDinyo was in another LEVEL can’t compare him with OKOCHA. Dinyo was better than Messi and C7 but just because he was black the European/World MEDIA did not give him the RESPECT that he deserved.
Enzi zake unaachaje kuangalia mpambano wa barca vs madridKuna jamaa nimemuonesha hii clip hapa anasema Gaucho ni Freemason
AaaaaaaaaaaKuna jamaa nimemuonesha hii clip hapa anasema Gaucho ni Freemason
Kwa chelsea alikataa mwenyewe akatimkia boltonWaafrika huwa tunamtetea okocha sababu ni mwenzetu! Ni kweli inawezekana okocha alikuwa na kipaji zaidi ya ronaldinho lakini alikosa vitu basic ambavyo ndio vilimuangusha!
Hata dinho mwenyewe ashawahi kusema okocha ndio namba 10 aliyokuwa anaipenda zaidi!
Sasa tujiulize zaidi ya psg, kwanini alishindwa kucheza timu kubwa akiwa katika ubora wake, madrid,barcelona,Liverpool,man u, ac milan, Juventus, intermilan, arsenal, Bayern Munich basi hata dortmund, valencia, chelsea, roma za kipindi hiko angecheza, ina maana hawa woote hawakuona ubora wake, mwishowe akaangukia bolton, Hull City huko.
Kuna kitu okocha alikosa msingi wa mpira, alikuwa fundi saana, ila wakati mwingine alikuwa anafosi mambo haya majanga naona hata kwa wachezaji wetu kina ajibu huku, kila muda anafosi kupiga outer, au ndemla kujipigia mashuti hovyo sababu ndio mashabiki wanaochomsifia! Anapiga auta hata kama sio ya lazima, wakati mwingine anapiteza mpira bure.
Ndio okocha wakati mwingine sehemu ya kuachia moja, atalazimisha kupiga ile chenga yake maarufu ya kutengua mtu nyonga mienapenda kuiita okocha feint! Sehemu ya kufanya kitu chepesi anafosi kufanya makubwa mwishowe anapoteza mpira ama anauwa move ya kwenda kushamubulia, ama anachelewesha mashambulizi. Na hivi alikuwa na nguvu za kupiga miguu yote ndio wakti mwingine anajipigia pigia tu hovyo. Sisemi alikuwa hapatii sometimes alikuwa anapatia na kufanya mazuri.
Tofauti na gaucho, gaucho alikuwa anafanya burudani zake bila kuharibu mipango ya timu, atapiga no look pasi ambayo ni hatari hata wapinzani hawakutegemea kama pasi itapiga huko! Atapiga vibaiskel kwenye motion, ataachi mali kwa wakati wa hatari zaidi langoni mwa mpinzani. Sisemi alikuwa hakosei ni kawaida kukosea kwa mwanadamu yoyote yule.
Kwangu nitasema ronaldinho gaucho.
Wako sawa, tatizo la okocha ni kutokea afrika na pia rangi yake ndio imemfanya asipewe haki yake na vyombo vyenye nguvu!Leo tuambine kati ya ronadihno gaucho na jay jay okocha na alikuwa fund wa kuchezea mpira?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata zidane alikuwa na weakness zake.Mzungu akiingia kusoma comments za waswahili humu vichekesho [emoji16] hoja dhaifu sana
Kwangu mimi wote style moja na level yao sawa, japo mmoja ana bahati ya kupata kituzo cha ballon mwingine hakua na bahati kutokana na klabu alochezea. "BOLTON"
Ukiniambia kati ya hawa 3
Zidane
Okocha
Gaucho
Nitachagua mpiga kazi, mburudishaji na wakuamua matokea,,,ZIDANE.
Kwa chelsea alikataa mwenyewe akatimkia bolton
Mimi nina hakika mkuuSina hakika na hili mzee.
Nilimchukia okocha kombe la dunia 98 kati ya Nigeria ns denimark alicheza kutaka sifa binafsi badala ya kusaidia timu matokeo yake wakafungwa nne tofauti ns kina Sunday olisa walijitolea kea timu yeye madoido yasiyo na maana gaucho ni zaidi[emoji1431]
Mimi nina hakika mkuu