Ronadihno vs Okocha nani alikuwa zaidi?

Ronadihno vs Okocha nani alikuwa zaidi?

apa tu tulipo inaambia dunia haidhaniwi siku za karibun kama kuna radha kama hii C 7 vs mess etoo washamsahau camp
 
Mtume na nabii wa mwisho wa soka. Ronaldinyo alikuwa anapenda sana kuwapiga wachezaji wenzie matobo. Nafikiri atakuwa anaongoza kwa kuwapiga matobo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan watu wametafuta mada yao, mtoa post kauliza nani anajua kuuchezea mpira wadau wameenda kwenye kusaidia timu kupata ushindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wananikumbusha School ukiona swali hulijui unajitungia lingine lenye kufanana na hilo ambalo unalijua, unaanza kuflow kisha unaamuachia kazi Msahihishaji
 
Dinyo was in another LEVEL can’t compare him with OKOCHA. Dinyo was better than Messi and C7 but just because he was black the European/World MEDIA did not give him the RESPECT that he deserved.


Kuna jamaa nimemuonesha hii clip hapa anasema Gaucho ni Freemason
 
Waafrika huwa tunamtetea okocha sababu ni mwenzetu! Ni kweli inawezekana okocha alikuwa na kipaji zaidi ya ronaldinho lakini alikosa vitu basic ambavyo ndio vilimuangusha!
Hata dinho mwenyewe ashawahi kusema okocha ndio namba 10 aliyokuwa anaipenda zaidi!
Sasa tujiulize zaidi ya psg, kwanini alishindwa kucheza timu kubwa akiwa katika ubora wake, madrid,barcelona,Liverpool,man u, ac milan, Juventus, intermilan, arsenal, Bayern Munich basi hata dortmund, valencia, chelsea, roma za kipindi hiko angecheza, ina maana hawa woote hawakuona ubora wake, mwishowe akaangukia bolton, Hull City huko.

Kuna kitu okocha alikosa msingi wa mpira, alikuwa fundi saana, ila wakati mwingine alikuwa anafosi mambo haya majanga naona hata kwa wachezaji wetu kina ajibu huku, kila muda anafosi kupiga outer, au ndemla kujipigia mashuti hovyo sababu ndio mashabiki wanaochomsifia! Anapiga auta hata kama sio ya lazima, wakati mwingine anapiteza mpira bure.

Ndio okocha wakati mwingine sehemu ya kuachia moja, atalazimisha kupiga ile chenga yake maarufu ya kutengua mtu nyonga mienapenda kuiita okocha feint! Sehemu ya kufanya kitu chepesi anafosi kufanya makubwa mwishowe anapoteza mpira ama anauwa move ya kwenda kushamubulia, ama anachelewesha mashambulizi. Na hivi alikuwa na nguvu za kupiga miguu yote ndio wakti mwingine anajipigia pigia tu hovyo. Sisemi alikuwa hapatii sometimes alikuwa anapatia na kufanya mazuri.

Tofauti na gaucho, gaucho alikuwa anafanya burudani zake bila kuharibu mipango ya timu, atapiga no look pasi ambayo ni hatari hata wapinzani hawakutegemea kama pasi itapiga huko! Atapiga vibaiskel kwenye motion, ataachi mali kwa wakati wa hatari zaidi langoni mwa mpinzani. Sisemi alikuwa hakosei ni kawaida kukosea kwa mwanadamu yoyote yule.

Kwangu nitasema ronaldinho gaucho.
Kwa chelsea alikataa mwenyewe akatimkia bolton
 
Mzungu akiingia kusoma comments za waswahili humu vichekesho 😁 hoja dhaifu sana

Kwangu mimi wote style moja na level yao sawa, japo mmoja ana bahati ya kupata kituzo cha ballon mwingine hakua na bahati kutokana na klabu alochezea. "BOLTON"


Ukiniambia kati ya hawa 3
Zidane
Okocha
Gaucho

Nitachagua mpiga kazi, mburudishaji na wakuamua matokea,,,ZIDANE.
 
Mzungu akiingia kusoma comments za waswahili humu vichekesho [emoji16] hoja dhaifu sana

Kwangu mimi wote style moja na level yao sawa, japo mmoja ana bahati ya kupata kituzo cha ballon mwingine hakua na bahati kutokana na klabu alochezea. "BOLTON"


Ukiniambia kati ya hawa 3
Zidane
Okocha
Gaucho

Nitachagua mpiga kazi, mburudishaji na wakuamua matokea,,,ZIDANE.
Hata zidane alikuwa na weakness zake.
Ila weakness kubwa ya zidane alikuwa sio mchezaji wa kumtegemea mechi ndogo.
Yaani kama France anacheza sijui na vi-nchi vidogovidogo jua zidane hana msaada.na ndio maana chunguza mechi nyingi za kimataifa zidane huwa anazingua hatua ya makundi ila inapofika hatua ya mtoano na giant timu ndio utamjua zidane ni nani.
Hata real Madrid walikuwa wanalalamika zidane hawasaidii sana mechi za Ligi wanapocheza na vitimu vidogo na wewe ndio maana amechukua la Liga mara moja tu pamoja na kucheza misimu mitano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina hakika mkuu

Sikupingi wala kukubishia, sikuwahi kusikia hiki kitu.

Una hata kalink kidogo tusome kwa kuongeza maarifa kidogo.
Ninachokimbuka 2004 ule msimu big sam alipiga mkwara hamuuzi okocha kwenda kokote naada ya msimu ule kuupiga mwingi akawa shortlisted katika pfa players’ of the year.
 
Back
Top Bottom