Naomba musinitukane haya sio maneno yangu ...
It's official: Lionel "Leo" Messi is the most prolific goal scorer the game has ever seen, and some are even arguing, possibly the greatest player in the history of football. The statistics, numbers, records, trophies and accolades Leo has accumulated in such a short span of time is nothing short of mind blowing. Locker Room breaks down the near mythical figure of Missile Messi and shows why he's our chosen Badass of the Month…
Haya futa mimate hiyo kisha kachukue kopo ukachambe.
Dinho ni Special Weapon kwa kila timu atakayochezea
Yeyote anayesema messi ni zaidi ya gaucho kisa messi kachukua mara nyingi tuzo ya uchezaji bora kuliko dinho ningependa aje hapa jamvini na atujuze vigezo vinavyomfanya mchezaji awe bora duniani na je messi anavyo hivyo vigezo!!!jibu ni rahisi kwamba hana ndo maana waumini wa vigezo vya uchezaji bora kama chomba huwezi kumbadilisha....binafsi ili nikubali kama messi ni zaidi ya gaucho kisa kachukua mara nyingi tuzo ntafurahi kama FIFA watakiri wamebadilisha vigezo vya mchezaji bora duniani kwani messi hana vigezo hivyo!....kipindi dinho anachukua tuzo vigezo na masharti vilikuwa vinazingatiwa ndo maana japo kipindi kile kuna mafundi wengi kama T.H Mabao,babu zizzou na wengineo lakini haikuwahi kutokea malalamiko kwakuwa vigezo vilizingatiwa!.....
Mavi matupu...
messi ni mzuri lakini gaucho ni zaidi.,gaucho aliisaidia zaidi barca lakini messi analishwa sana mipira na wakina xavi

Una akili mingi sana...
Then unajuwa Soka kupindukia...
Bila shaka mpaka sasa atakuwa keshamkamata Pahiño kwani tangu Oct 2012 keshafunga magoli mengi tu kwenye La Liga na bado hajachoka kwa hiyo wanga mtaendelea kuumwa mpaka muote tonsillitis kooni na makalioni
Wala huhitaji kutumia maneno ya kina Chomba, haya yanaonesha mtu aliyeishiwa hoja na wewe una vigezo vingi bado vya kutetea hoja yako kwa mafanikio bila kuchombalize!
Naona maneno tu lakini maana ya maneno siioni. Yaani kwa akili yako aliyoyasema Gang Chomba ndio yana maana zaidi ya kura za Arsene Wenger, Sir Alex Ferguson, Caesar Maldini, Michel Laudrup, Lothar Mathaus, Fabio Capello, na makocha wengine wengi?
Unasema ungefurahi kama FIFA watakiri kuwa wamebadili vigezo, mara Messi hana vigezo (blah blah blah) ndio tukueleweje?
Hebu taja wewe basi hivyo vigezo vya mchezaji bora na uniambie ni nini hicho ambacho Gaucho anacho zaidi ya Messi kabla sijakwambia ni nini Messi ANAVYO zaidi ya Gaucho.
Unajaribu kuntoa nje ya mada katu sitotoka!!!!jibu swali hili....ili mchezaji apewe tuzo ya uchezaji bora anatakiwa awe ana vigezo gani?jibu sahihi la swali hili ndo linalofanya dinho wa enzi za barca kuwa bora ya messi!...NB:vigezo vilivyomfanya dinho achukue tuzo enzi zake si vigezo vilimfanya messi achukue tuzo na kama wangefuata vigezo vilivyopelekea dinho achukue tuzo basi messi astahiki kupewa na mwenye kustahili ni Iniesta!najua utajiuliza kwanini...kagoogle urudi tena!ndo utajua kwanini mario jardel na t.h mabao hawakuwahi kuchukua tuzo ya uchezaji bora
[TD="class: gig-button-td"] [TD="align: left"] | |
By the way brothers, European Clubs hazifanyi upenzi zaidi ya biashara. Kama Gaucho alikuwa swafi zaidi ya Messi, nini ilifanya Barcelona imuuze? Alikuwa amezeeka? Nini kilifanya Dunga asimjumuishe kwenye timu ya Brazil iliyocheza World Cup South Africa?
Kushindana na ukweli ni kazi sana. At the age of 22, Messi alishafanya ambayo huwachukua wengine miaka 7 uwanjani kuyafikia. Gaucho alikuwa entertainer lakini si fighter. Messi is the best kwa kuwa at the shadow of sinking, Messi anaiokoa timu, na ndio maana hata Anzhi Makaskhala walipotangaza dau la £205m Barcelona hawakuwa temped kumuuza, sasa jiulize Gaucho aliuzwa kwa ngapi?
Sifa hizi mnazommiminia Gaucho zilimstahili Zinedine Zidane. Huyu ndio mchezaji aliyenikera ktk historia ya maisha yangu kwani alitundia daruga ilhali bado mpira upo mguuni kwa hiyo kwangu mimi naona kama alitudhulumu burudani. Lakini as for Gaucho, yupo wapi? Hakukaa kwenye peak kwa muda mrefu, na what he did, didn't pay na ndio maana Barca walimuuza, au mnataka kusema Barca walifilisika kiasi wamuuze best player?
narudia kusema gaucho alikuwa anaichezesha timu nzima kuanzia kati hadi mashambulizi,kwenye kiungo alikuwa anang'aa kwenye kufunga magoli utamkuta,ni kama zidane alivyokuwa anategemewa na france,.mimi sikatai kuwa messi ni mkali wa magoli,lakini mtoe messi barca uone anavyopwaya especially kwenye national team,gaucho alienda barca wakati huo wakiwa hoi akai-transform timu,messi kakuta barca ambayo imeshatengenezwa na mtakatifu gaucho(kama gang chomba anavyomuhita).Kwa hio kipindi cha dinho alikuwa halishwi mipira na xavi?
Tel dem fools!
haya matusi ni ya ushabiki wa simba na yanga..usituletee humu
kama kuna mechi mbili kwa wakati mmoja,huku yupo gaucho kule yupo messi,utaangalia mechi ipi?
football is more than scoring goals,mashabiki wa barca wanapenda sexy football na ndio maana wakamvuta gaucho kutoka psg sababu walimuona ndio master wa mipira hiyo