Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Naomba musinitukane haya sio maneno yangu ...

It's official: Lionel "Leo" Messi is the most prolific goal scorer the game has ever seen, and some are even arguing, possibly the greatest player in the history of football. The statistics, numbers, records, trophies and accolades Leo has accumulated in such a short span of time is nothing short of mind blowing. Locker Room breaks down the near mythical figure of Missile Messi and shows why he's our chosen Badass of the Month…

Maneno ya haki kabisa. Hata ukitukanwa usijali, matusi ya wenye wivu na hila ni maneno tu ya kilevi
 
Yeyote anayesema messi ni zaidi ya gaucho kisa messi kachukua mara nyingi tuzo ya uchezaji bora kuliko dinho ningependa aje hapa jamvini na atujuze vigezo vinavyomfanya mchezaji awe bora duniani na je messi anavyo hivyo vigezo!!!jibu ni rahisi kwamba hana ndo maana waumini wa vigezo vya uchezaji bora kama chomba huwezi kumbadilisha....binafsi ili nikubali kama messi ni zaidi ya gaucho kisa kachukua mara nyingi tuzo ntafurahi kama FIFA watakiri wamebadilisha vigezo vya mchezaji bora duniani kwani messi hana vigezo hivyo!....kipindi dinho anachukua tuzo vigezo na masharti vilikuwa vinazingatiwa ndo maana japo kipindi kile kuna mafundi wengi kama T.H Mabao,babu zizzou na wengineo lakini haikuwahi kutokea malalamiko kwakuwa vigezo vilizingatiwa!.....
 
Ningekua ni mimi nnayetoa zawadi this time ningempa Iniesta but sio mimi, hisia zangu hazina nafasi hapa. Watu (professionals wa soccer) wamekaa wamepiga kura wakaona dogo anastahili na wamempa tena, hata kama ni kwa mara ya nne mfululizo.

Naomba kujua ni vigezo gani unavyoongea kwamba havizingatiwi uvitaje then we will argue.

Halafu unavyomtumia mtu kuipa legitimacy hoja yako, mtu aliyoonesha chuki, wivu wa kike, maneno ya mtu aliyetawaliwa na hisia zake, hashirikishi ubongo katika kufanya argument, unaifanya hata hiyo hoja yako kuwa fallacy tu (argumentum ad populum). Leta hoja zako bana acha uvivu wa kufikiri!
 
messi ni mzuri lakini gaucho ni zaidi.,gaucho aliisaidia zaidi barca lakini messi analishwa sana mipira na wakina xavi

Kwa hiyo Gaucho alikua anacheza peke yake uwanjani?
Wakati mwingine kama huna cha kusema just shut up kuliko hizi pumba unamwaga hapa.

" mwenye busara huongea tu kama ana kitu cha maana kukizungumzia ila M.P.U.M.B.A.V.U huongea ili nayeye aonekane anaongea"
 
Yeyote anayesema messi ni zaidi ya gaucho kisa messi kachukua mara nyingi tuzo ya uchezaji bora kuliko dinho ningependa aje hapa jamvini na atujuze vigezo vinavyomfanya mchezaji awe bora duniani na je messi anavyo hivyo vigezo!!!jibu ni rahisi kwamba hana ndo maana waumini wa vigezo vya uchezaji bora kama chomba huwezi kumbadilisha....binafsi ili nikubali kama messi ni zaidi ya gaucho kisa kachukua mara nyingi tuzo ntafurahi kama FIFA watakiri wamebadilisha vigezo vya mchezaji bora duniani kwani messi hana vigezo hivyo!....kipindi dinho anachukua tuzo vigezo na masharti vilikuwa vinazingatiwa ndo maana japo kipindi kile kuna mafundi wengi kama T.H Mabao,babu zizzou na wengineo lakini haikuwahi kutokea malalamiko kwakuwa vigezo vilizingatiwa!.....

Naona maneno tu lakini maana ya maneno siioni. Yaani kwa akili yako aliyoyasema Gang Chomba ndio yana maana zaidi ya kura za Arsene Wenger, Sir Alex Ferguson, Caesar Maldini, Michel Laudrup, Lothar Mathaus, Fabio Capello, na makocha wengine wengi?

Unasema ungefurahi kama FIFA watakiri kuwa wamebadili vigezo, mara Messi hana vigezo (blah blah blah) ndio tukueleweje?

Hebu taja wewe basi hivyo vigezo vya mchezaji bora na uniambie ni nini hicho ambacho Gaucho anacho zaidi ya Messi kabla sijakwambia ni nini Messi ANAVYO zaidi ya Gaucho.
 
Last edited by a moderator:
Una akili mingi sana...
Then unajuwa Soka kupindukia...

Hayo mnajua wewe na huyo jamaa yako, mtapongezana sana lkn Messi ataendelea kuvunja rekodi kila kukicha.

Hapa chini ni msimamo wa wafungaji bora wa La Liga as at 28 Oct. 2012. Zingatia kuwa Messi ameshaongeza magoli mengine kwa hiyo siyo wa kumi tena ila anazidi kusogea juu.

The Top-10
251 goals
Zarra (Athletic Club)

234 goals
Hugo Sánchez (Atlético, Madrid and Rayo)

228
goals
Raúl (Madrid)

227
goals
Di Stèfano (Madrid and Espanyol)

223
goals
César (Granada, Barça, Cultural and Elx)

219
goals
Quini (Sporting and Barça)

210
goals
Pahiño (Celta, Madrid and Deportivo)

195
goals
Mundo (Valencia and Alcoià)

186
goals
Santillana (Madrid)

182
goals
Messi (Barça) and Agra (Sevilla)

Bila shaka mpaka sasa atakuwa keshamkamata Pahiño kwani tangu Oct 2012 keshafunga magoli mengi tu kwenye La Liga na bado hajachoka kwa hiyo wanga mtaendelea kuumwa mpaka muote tonsillitis kooni na makalioni

images
 
Del Bosque: Messi is the best, full stop

The Spain coach has claimed the Argentine sensation would be a huge success in any side in the world, and highlighted Brazil as the favourites for World Cup 2014

Jan 16, 2013 6:35:00 PM

By Joe Wright

244838hp2.jpg
Getty

Vicente del Bosque has heaped praise on Lionel Messi, stating that the Barcelona star would be great wherever he played.

[TD="class: bet"][/TD]
[TD="class: returns"][/TD]
[TD="class: winHome odds"][/TD]
[TD="class: draw odds"][/TD]
[TD="class: winAway odds"][/TD]

The Argentina attacker scooped his fourth consecutive Ballon d'Or prize at the beginning of the month after a record-breaking year with the Liga leaders, and the Spain coach believes he would be a sensation in any side in the world.

In an interview with the Spanish Football Federation, Del Bosque said: "Messi is the guy playing in the street, the one who fools everyone. He'd do great everywhere, whoever was playing at his side. He's brilliant, period."

Del Bosque, who was named Coach of the Year 2012 at the Ballon d'Or gala in Zurich following La Roja's successful Euro 2012 campaign, went on to highlight host nation Brazil as the main threat to his side's World Cup crown in 2014.

"I think that the local factor has less influence now than in the past but, undoubtedly, Brazil are the major threat," he added.

Eti niache kusikiliza professional approach ya Vicente Del Bosque nisikilize hisia za chuki na wivu wa kike wa Gang Chomba ambaye comments zake ni za kipuuzi kama hapa chini
quote_icon.png
By Gang Chomba

Mavi matupu...
 
Bila shaka mpaka sasa atakuwa keshamkamata Pahiño kwani tangu Oct 2012 keshafunga magoli mengi tu kwenye La Liga na bado hajachoka kwa hiyo wanga mtaendelea kuumwa mpaka muote tonsillitis kooni na makalioni

Wala huhitaji kutumia maneno ya kina Chomba, haya yanaonesha mtu aliyeishiwa hoja na wewe una vigezo vingi bado vya kutetea hoja yako kwa mafanikio bila kuchombalize!
 
Naona maneno tu lakini maana ya maneno siioni. Yaani kwa akili yako aliyoyasema Gang Chomba ndio yana maana zaidi ya kura za Arsene Wenger, Sir Alex Ferguson, Caesar Maldini, Michel Laudrup, Lothar Mathaus, Fabio Capello, na makocha wengine wengi?

Unasema ungefurahi kama FIFA watakiri kuwa wamebadili vigezo, mara Messi hana vigezo (blah blah blah) ndio tukueleweje?

Hebu taja wewe basi hivyo vigezo vya mchezaji bora na uniambie ni nini hicho ambacho Gaucho anacho zaidi ya Messi kabla sijakwambia ni nini Messi ANAVYO zaidi ya Gaucho.

Unajaribu kuntoa nje ya mada katu sitotoka!!!!jibu swali hili....ili mchezaji apewe tuzo ya uchezaji bora anatakiwa awe ana vigezo gani?jibu sahihi la swali hili ndo linalofanya dinho wa enzi za barca kuwa bora ya messi!...NB:vigezo vilivyomfanya dinho achukue tuzo enzi zake si vigezo vilimfanya messi achukue tuzo na kama wangefuata vigezo vilivyopelekea dinho achukue tuzo basi messi astahiki kupewa na mwenye kustahili ni Iniesta!najua utajiuliza kwanini...kagoogle urudi tena!ndo utajua kwanini mario jardel na t.h mabao hawakuwahi kuchukua tuzo ya uchezaji bora
 
Myao jaribu kuandika kwa vituo upate kueleweka. Mi naona unabwabwaja. Kama una kitu cha kusema na si usema, au mpaka ufundishwe? Mtakuja na kila aina ya mbinu lakini mtaishia kutoa pointless speeches na mkashindwa kuzitetea.

Sasa kama ulidhani utaratibu ndio utam-favor mgombea wako, ngoja nikubandikie mabadiliko yaliyofanywa na FIFA na namna yalivyoboresha namna ya upatikanaji wa mshindi.

[h=1]History of the Ballon d'Or[/h] [h=3]Soccer magazine France Football launched the award in 1956[/h] [h=4]Last Updated: Wednesday, January 5, 2011 | 10:32 AM ET[/h] [h=5]By John F. Molinaro, CBC Sports[/h]

[TD="class: gig-button-td"]

[TD="align: left"]

[/TD]

[/TD]

In 2007, France Football once again changed the qualifications, opening it up to players from the rest of the world, regardless of nationality or their pro club. This meant that the Ballon d'Or had effectively become the world player of the year award, although it was still a separate honour for the FIFA world player of the year award.

In total, only three players have won the Ballon d'Or three times: Johan Cruyff (1971, 1973 and 1974) and Marco van Basten (1988, 1989 and 1992), both of the Netherlands, and Michel Platini (1983, 1984, 1985) of France. Only one goalkeeper has ever claimed the award: Lev Yashin of the Soviet Union in 1963.

Italian clubs Juventus and AC Milan have produced the most recipients (eight), while Germany and the Netherlands lead all countries with seven winners apiece.

For the last five years, the Ballon d'Or and the FIFA world player of the year award have gone to the same players: Ronaldinho (2005), Fabio Cannavaro (2006), Kaka (2007), Cristiano Ronaldo (2008) and Lionel Messi (2009).

Voting for the FIFA Ballon d'Or award will come from the coaches and captains of national teams - as was previously the case for the FIFA player of the year - and also from journalists, who used to nominate France Football's Ballon d'Or winner.

"This electoral college of players, coaches and journalists will make for more balance and better representation," said Francois Moriniere, managing director of France Football.

"It will also be a worldwide college of journalists, rather than a uniquely European one. All these things will lend the award more credibility."

Nilichoona ni kwamba zamani walikuwa ni watu wachache wenye kufanya maamuzi, lkn sasa ni jopo la zaidi ya watu 500 ndio humpigia kura mshindi. Sasa hapo ndio utaona kuwa mazingira ya upendeleo na hila yanakaa mbali kwa kuwa jopo la makocha na manahodha wa timu za taifa ni kundi kubwa ambalo lina mawazo tofauti.

Sasa sijui unataka nini tena? Kama una cha kusema sema achana na nare nare zisizo na msingi, mara ooh nenda kagugo n.k, weka facts ubaoni twende sawa na sio blah blah.

Jisomee mwenyewe hapa utaratibu History of the Ballon d'Or
 
By the way brothers, European Clubs hazifanyi upenzi zaidi ya biashara. Kama Gaucho alikuwa swafi zaidi ya Messi, nini ilifanya Barcelona imuuze? Alikuwa amezeeka? Nini kilifanya Dunga asimjumuishe kwenye timu ya Brazil iliyocheza World Cup South Africa?

Kushindana na ukweli ni kazi sana. At the age of 22, Messi alishafanya ambayo huwachukua wengine miaka 7 uwanjani kuyafikia. Gaucho alikuwa entertainer lakini si fighter. Messi is the best kwa kuwa at the shadow of sinking, Messi anaiokoa timu, na ndio maana hata Anzhi Makaskhala walipotangaza dau la £205m Barcelona hawakuwa temped kumuuza, sasa jiulize Gaucho aliuzwa kwa ngapi?

Sifa hizi mnazommiminia Gaucho zilimstahili Zinedine Zidane. Huyu ndio mchezaji aliyenikera ktk historia ya maisha yangu kwani alitundia daruga ilhali bado mpira upo mguuni kwa hiyo kwangu mimi naona kama alitudhulumu burudani. Lakini as for Gaucho, yupo wapi? Hakukaa kwenye peak kwa muda mrefu, na what he did, didn't pay na ndio maana Barca walimuuza, au mnataka kusema Barca walifilisika kiasi wamuuze best player?
 
Tel dem fools!
 
Kwa hio kipindi cha dinho alikuwa halishwi mipira na xavi?
narudia kusema gaucho alikuwa anaichezesha timu nzima kuanzia kati hadi mashambulizi,kwenye kiungo alikuwa anang'aa kwenye kufunga magoli utamkuta,ni kama zidane alivyokuwa anategemewa na france,.mimi sikatai kuwa messi ni mkali wa magoli,lakini mtoe messi barca uone anavyopwaya especially kwenye national team,gaucho alienda barca wakati huo wakiwa hoi akai-transform timu,messi kakuta barca ambayo imeshatengenezwa na mtakatifu gaucho(kama gang chomba anavyomuhita).
seriously;kama kuna gemu mbili kwenye tv,moja yupo gaucho nyingine yupo messi,utaangalia gemu ipi?be honest
 
Tel dem fools!

haya matusi ni ya ushabiki wa simba na yanga..usituletee humu
kama kuna mechi mbili kwa wakati mmoja,huku yupo gaucho kule yupo messi,utaangalia mechi ipi?
football is more than scoring goals,mashabiki wa barca wanapenda sexy football na ndio maana wakamvuta gaucho kutoka psg sababu walimuona ndio master wa mipira hiyo
 
Wala hakuna tusi hapo, being a fool ni state of your mind, mjinga kwa maneno mengine basi.
Anayoyaporomosha Chomba huyaoni? Acha unafiki bwa mdogo!
 
Kwa wanaojua mpira. Huwezi sema Messi anautandika zaidi ya Ronaldinho. Gaucho mbaya!!!

Sent via EyePhone
 
Back
Top Bottom