Wachezaji wenyewe wa ulaya mara kadhaa wameshakaririwa wakisema kuwa huwa inawalazimu kusimama uwanjani na kumuangalia The Saint Dinho Magic akiufanya Mpira uonekane ni rahisi kuuchezea...
Kumbe Xavi na Iniesta wanachezea timu ya taifa ya Argentina?
Lionel Messi scores hat-trick as Argentina beat Brazil 4-3 in New Jersey - Telegraph
Captain Messi Scores In Argentina Triumph - Lionel Messi, Leo Messi, Messi
Leo 27[SUP]th[/SUP] January 2013, Lionel Andres 'Leo' Messi amefunga magoli ma4 Iniesta akichungulia akiwa benchi.
Futa mikamasi hiyo kisha nenda kawaangalie hao osasuna aliowafunga goli 4 wako nafasi ya ngapi kwenye Ligi...
Ndio maana nimekuelimisha kuwa huyo ushuzi ana goli moja tu katika mashindano dume ya World Cup.
mtakatifu Gaucho mwenye heri alipata kunena maneno haya kuwa huwezi kufananishwa na Pele kwa kuwafunga Getafe, Granada, Osasuna na Valadorid, utafananishwa na Pele kwa kabeba World Cup 3...
Kumbe Xavi na Iniesta wanachezea timu ya taifa ya Argentina?
Lionel Messi scores hat-trick as Argentina beat Brazil 4-3 in New Jersey - Telegraph
Captain Messi Scores In Argentina Triumph - Lionel Messi, Leo Messi, Messi
Hizo bold ni kosa la mamaako kukuacha ulelewe mtaani.
Kwa akili yako unaona World Cup ni mashindano dume kwa kuwa hukuona World Cup in those days.
World Cup itabebwa kwa juhudi ya timu sio Messi. Huyo Pele hakuenda peke yake kucheza, alicheza na kina Garincha. Wewe utaumwa sana. Fuata hii link uone Messi anapiga hatrik dhidi ya Brazil Argentina vs Brazil 2012 Highlights 4-3 Messi Hat trick Fernandez Hulk Romulo Oscar Goals Video June 9 New Jersey Friendly| Soccer Blog|Football News, Reviews, Quizzes
Kwanza mbona unaruka ruka kama changudoa, mara Messi umlinganishe na Gaucho mara Pele, sasa mbona hutulii?
Hili swali langu halijibiki au?
Kwa nini Barcelona waliamua kumuuza Gaucho kama alikuwa Best Player na tegemeo kwa timu?
tumia akili kidogo jishughulishe hata ku google....pep alikuja an sera zake mfu kudadadadeki zake alitaka kujenga timu na watu wake...ndio maana hata goal scora etoo alimpiga chini.....this gay pep wanasema ni bonge la mbaguzi sana.....Hili swali langu halijibiki au?
Kwa nini Barcelona waliamua kumuuza Gaucho kama alikuwa Best Player na tegemeo kwa timu?
Seasons at the club: 2003-2008 Games: 250 Goals: 110 Titles: 2 Leagues (2004/05, 2005/06) 1 Champions League (2005/06) 2 Spanish Super Cups (2005/06, 2006/07) 3 Catalonia Cups (2003/04, 2004/05, 2006/07)
ikumbukwe kuwa hatujasema messi mkakli tatizo lenu mnafikiria kwa kutumia makalio....messi he is bana mkali hana mpinzani....ila gaucho was the better than messi in his time barca...
here come the pain...
The striker is currently in London ahead of City's
Premier League clash with QPR at Loftus Road on
Tuesday evening but is believed to have a private
jet on standby at London's City airport.
Out of Topic
kwa vigezo vipi? messi kafunga zaidi ya magoli 200 akiwa barca, katoa mapande kedekede yaliyozaa magoli (assists), kafunga goli kama la maradona la wc 1986 kwa kuwapiga chenga mabeki kutoka katikati ya uwanja hadi golini, katwaa makombe 4 kwa mpigo katika msimu mmoja, kama ni kuchekacheka uwanjani na kuwachezesha orchestra mashabiki kweli ronaldinho kamzidi messi; narudia, ronaldinho alifanya mazingaombwe (magic), messi anafanya miujiza (miracles), ronaldinho ni tabasamu la soka, messi ni kicheko cha soka!na kama alivyosema ronaldinho mwenyewe, messi hakunaga!
Huyo Nazi wa Milan hachelewi kusema Balotelli ni zaidi ya Messi!
Even you...
Your out of topic
Huyo Nazi wa Milan hachelewi kusema Balotelli ni zaidi ya Messi!
Hivi huu ubishi bado unaendelea? duh kuna watu hata kazi ya kuamsha maiti wanaweza!