Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Huyo mtoto Wilshere ni nouma. Kwenye Bleacher mwandishi ameandika kitu mpk raha "They came to see Neymer. They left talking about Wilshere"
Nani analo kombe la dunia kwenye kabati lake?
Utakuwa unaumwa wewe, tena wazimu. Hivi kwa akili yako, walipomchagua George Opong Weah kuwa Mchezaji Bora wa Dunia, walikuwa hawajui kuwa Liberia haijawahi hata kushiriki kombe la dunia?
Ujinga ni mzigo ndugu yangu. George Weah alikuwa World Superstar japo timu yake ya Taifa haijawahi hata kushiriki Kombe la Afrika achilia mbali la dunia. Kombe la dunia ni zao la uimara wa soka la nchi na sio mchezaji binafsi. Ukiwa na akili angalau kidogo huwezi kumuondoa Mbwana Samata kwenye kinyang'anyiro cha uchezaji bora wa Africa eti kwa kuwa Taifa Stars haijawahi kuwa bingwa wa Africa......mburula wa akili wewe
Haya ndio mambo yanayomuudhi Etoo, mbona basi msijibu swali langu?
Kama mnaamini Gaucho aliibeba Barca, ilikuwaje Barca ikamuuza mungu wenu wa soka? Alikuwa kazeeka? Kwa nini kwa kiasi kidogo cha fedha? Mbona asipatikane wa kumnunua kwa £80m kama Christian Ronaldo au angalau £50m kama Torres?
Hebu acha kujitia wehu, soma hii link uone nani ni Barca King Barcelona's Lionel Messi snubs £205million Anzhi Makhachkala transfer | Metro News
Mie ningependa Kusema kwanza wanaosema MUNGU mie siwezi kumshirikisha mwenyezimungu na viumbe kabisa na kuviita Mungu, Mwenyezimungu ni Mmoja na hana mfano. Turudi kwa Gaucho na Messi kwa Maoni yangu Messi yupo mbele ki soka/football kuliko Ronaldinho huyu Gaucho alifanya vitu skillful ambavyo unaweza kusema kwenye macho ya watu yalikuwa mageni kuliko hata Messi ila tatizo la Gaucho linakuja alikuwa Mbinafsi saaaana na ndomana Barcelona yake kina Xavi na Eniesta hawakupata nguvu na walikuwepo hao kina Xabi na Eniesta wamewika muda wa Messi na Guadiola, So Barca ile tulimuona Ronaldinho vitu ambavyo hatukuona kwa mchezaji ila alikuwa mbinafsi sana Nyota wa Barcelona ile alikuwa ni Samuel Etoo alikuwa anatizama mbele na kutizama masilahi ya timu nini wanataka ni ushindi so alikuwa anapiga mabao na kuchezesha wenzake pia Barca toka aondoke Samuel Etoo haikupata Striker wa kati kama Samuel Etoo, Turudi kwa Messi sasa Messi ni Mkokotaji mpira mzuri sana hakuna kama yeye ni mchezeshaji pia mzuri kwenye kuchezesha game ya football na hajionyeshi ili Fan wamuone yeye anajali masilahi ya timu. Kila Mchezaji anaujuzi na ukali wake unajulikana hana haja kuwa hajashinda sijui kombe la Dunia au La CL kwa Game hachezi mchezaji mmoja sio Tennis hiyo kama Mchezaji mkali watu wanaona ukali kama alivyosema mdau na George Weah.
wewe ungeongelea nba akina chaunsey bilups, amaar stoudmare, nick vanexell, dikembe, rodman, ron artest, qareem abduljaal, kb 24, charles barkley, alonzo morning, ningepoteza muda kukusoma.
Lakini haya ya santa gaucho waaala sijajisumbua kukusoma.
Dinho huyu aliyechemka juzi kama hajawahi kucheza mpira au dinho yupi mnamzungumzia? Nyinyi wote hamkutazama mechi, hata si kweli kwamba timu nzima iliyumba, bali mnapokuwa na mchovu uwanjani lazima myumbe.
Usilete ngonjera za mechi moja na uzee, unataka kuniambia Ronaldinho ni mzee zaidi ya Andrea Pirlo na Carles Puyol?
Ronaldinho March 21, 1980
Carles Puyol April 13, 1978
Andrea Pirlo May 19, 1979
Frank Lampard June 20, 1978
Hata Barcelona walimuuza akiwa kijana tu kwa kuwa hakuwa na maana tena kwa timu. Ona sasa wenye kuujua mpira kina Puyol wanazeekea Nou Camp.
Teh teh hata medali ya kombe la Dunia huyo ushuzi hana...
Aliondoka Peter Schmeicher ile hali yeye alikuwa jiwe kuu la pembeni pale Old Traford...
Usikurupuke
kwa mara nyingine tena nimeshuhudia Nesi akishindwa kuisaidia Barca isibakwe na kwa mara nyingine tena Nesi ameshindwa kupiga shuti on target katika mechi kubwa na kwa kifupi sikumtofautisha na Gumbo au Kijuso.
Narudia kusema Messi ni Uharo.
Shida ya wengi humu wameanza kuangalia mpira enzi hizi za Messi... Sikatai he is superb and the best footballer in this planet for the past four years and will still be, may be for the next 2-3 years!
I am a Messi fan too.. Ila jamani Dinho was something else, Enzi hizo nilikua naangalia mechi zote za Barca live.. na pia nilikua narudia mechi alizocheza huyu kiumbe mara tatu hadi nne na kuangalia anachofanya uwanjani.. hajatokea tena wa kumakaribia huyu kiumbe.. Profesa zidane angalau naweza kumsogeza kwa dinho kidogo
That said.. Messi anabaki na nafasi yake ila Tumuache Dinho aitwe Saint tu...! hafananishwi bana
dinho ni balaa lingine....tusitoe matusi wala kuongea kishabiki sana kwa kupumbazwa na ukungu wa anachokifanya messi sasa hivi na kusahau vitu alivyovifanya gaucho....hata pele au maradona hawakuwahi kufanya ya gaucho....ila tumebaki kuwatukuza tu wakati walifanya mpira kipindi ambacho sanaa ya mpira ilikuwa haijafikia climax....kila sanaa ina maendeleo yake,na mpira ni sanaa...Nikirudi kwenye topic,GAUCHO WAS AND IS THE LEGEND IN FOOTBALL HISTORY
Kama ni Darasani basi wa kwanza ni gaucho no.2,3،4،5،6،7،8، 9 hawajapatikana anaefata ni namba kumi ambaye ndo messi. Messi hana hata nusu goli au pasi ya goli kwenye World kap, Gaucho ni Zaid ya Pele na Maradona!
Dah mazafanta!!!!hadi leo sijajua ni kwanini watu wafupi wasiokuwa na mvuto ni washabiki wa kutupwa wa messi....