Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Huyo mtoto Wilshere ni nouma. Kwenye Bleacher mwandishi ameandika kitu mpk raha "They came to see Neymer. They left talking about Wilshere"

Huyo Wilshere jana kapakwa hina na wajerumani na Assnail wakala libolo 3
 
Nani analo kombe la dunia kwenye kabati lake?

Utakuwa unaumwa wewe, tena wazimu. Hivi kwa akili yako, walipomchagua George Opong Weah kuwa Mchezaji Bora wa Dunia, walikuwa hawajui kuwa Liberia haijawahi hata kushiriki kombe la dunia?

Ujinga ni mzigo ndugu yangu. George Weah alikuwa World Superstar japo timu yake ya Taifa haijawahi hata kushiriki Kombe la Afrika achilia mbali la dunia. Kombe la dunia ni zao la uimara wa soka la nchi na sio mchezaji binafsi. Ukiwa na akili angalau kidogo huwezi kumuondoa Mbwana Samata kwenye kinyang'anyiro cha uchezaji bora wa Africa eti kwa kuwa Taifa Stars haijawahi kuwa bingwa wa Africa......mburula wa akili wewe

Teh teh hata medali ya kombe la Dunia huyo ushuzi hana...
 
Haya ndio mambo yanayomuudhi Etoo, mbona basi msijibu swali langu?

Kama mnaamini Gaucho aliibeba Barca, ilikuwaje Barca ikamuuza mungu wenu wa soka? Alikuwa kazeeka? Kwa nini kwa kiasi kidogo cha fedha? Mbona asipatikane wa kumnunua kwa £80m kama Christian Ronaldo au angalau £50m kama Torres?

Hebu acha kujitia wehu, soma hii link uone nani ni Barca King Barcelona's Lionel Messi snubs £205million Anzhi Makhachkala transfer | Metro News

Aliondoka Peter Schmeicher ile hali yeye alikuwa jiwe kuu la pembeni pale Old Traford...
Usikurupuke
 
Mie ningependa Kusema kwanza wanaosema MUNGU mie siwezi kumshirikisha mwenyezimungu na viumbe kabisa na kuviita Mungu, Mwenyezimungu ni Mmoja na hana mfano. Turudi kwa Gaucho na Messi kwa Maoni yangu Messi yupo mbele ki soka/football kuliko Ronaldinho huyu Gaucho alifanya vitu skillful ambavyo unaweza kusema kwenye macho ya watu yalikuwa mageni kuliko hata Messi ila tatizo la Gaucho linakuja alikuwa Mbinafsi saaaana na ndomana Barcelona yake kina Xavi na Eniesta hawakupata nguvu na walikuwepo hao kina Xabi na Eniesta wamewika muda wa Messi na Guadiola, So Barca ile tulimuona Ronaldinho vitu ambavyo hatukuona kwa mchezaji ila alikuwa mbinafsi sana Nyota wa Barcelona ile alikuwa ni Samuel Etoo alikuwa anatizama mbele na kutizama masilahi ya timu nini wanataka ni ushindi so alikuwa anapiga mabao na kuchezesha wenzake pia Barca toka aondoke Samuel Etoo haikupata Striker wa kati kama Samuel Etoo, Turudi kwa Messi sasa Messi ni Mkokotaji mpira mzuri sana hakuna kama yeye ni mchezeshaji pia mzuri kwenye kuchezesha game ya football na hajionyeshi ili Fan wamuone yeye anajali masilahi ya timu. Kila Mchezaji anaujuzi na ukali wake unajulikana hana haja kuwa hajashinda sijui kombe la Dunia au La CL kwa Game hachezi mchezaji mmoja sio Tennis hiyo kama Mchezaji mkali watu wanaona ukali kama alivyosema mdau na George Weah.

Wewe Ungeongelea NBA akina Chaunsey Bilups, Amaar Stoudmare, Nick vanexell, Dikembe, Rodman, Ron Artest, Qareem Abduljaal, KB 24, Charles Barkley, Alonzo Morning, ningepoteza muda kukusoma.
Lakini haya ya Santa Gaucho waaala sijajisumbua kukusoma.
 
wewe ungeongelea nba akina chaunsey bilups, amaar stoudmare, nick vanexell, dikembe, rodman, ron artest, qareem abduljaal, kb 24, charles barkley, alonzo morning, ningepoteza muda kukusoma.
Lakini haya ya santa gaucho waaala sijajisumbua kukusoma.

furaha yangu ni kwamba ume reply imeonyesha tayari umenisoma na ujumbe umekufikia.
 
Dinho huyu aliyechemka juzi kama hajawahi kucheza mpira au dinho yupi mnamzungumzia? Nyinyi wote hamkutazama mechi, hata si kweli kwamba timu nzima iliyumba, bali mnapokuwa na mchovu uwanjani lazima myumbe.

Usilete ngonjera za mechi moja na uzee, unataka kuniambia Ronaldinho ni mzee zaidi ya Andrea Pirlo na Carles Puyol?

Ronaldinho March 21, 1980
Carles Puyol April 13, 1978
Andrea Pirlo May 19, 1979
Frank Lampard June 20, 1978

Hata Barcelona walimuuza akiwa kijana tu kwa kuwa hakuwa na maana tena kwa timu. Ona sasa wenye kuujua mpira kina Puyol wanazeekea Nou Camp.

Na jana uliona huyo Messi alivyotepeta?
Kakabwa na Ambrosini mwenye miaka 36 lakini hajafanya lolote la maana.
Puumbav zake...
 
Teh teh hata medali ya kombe la Dunia huyo ushuzi hana...

Sikiliza wewe -----. Kombe la Dunia sio zao la juhudi za mtu binafsi. Kushinda kombe la dunia kunategemea unachezea timu gani na ndio maana nikakupa mfano wa George Weah lkn inaonekana kichwani una maji na uji ubongo hakuna na ndio maana unaongea maneno ya kijingajinga kama hiyo kwenye bold kama pumbavu

George Opong Weah timu yake ya Taifa haijawahi hata kushiriki hilo Kombe la Dunia lkn hilo halikumzuia Weah kuwa Football King. Jenga hoja mambo ya ushuzi jadili na mama yako aliyeshindwa kukulea vyema.

argentina.jpeg

Huyo Messi na medali yake ya dhahabu ya Olympic. Kama ulidhani hajawaji kubeba kombe na timu ya taifa napo unajidanganya
 
Aliondoka Peter Schmeicher ile hali yeye alikuwa jiwe kuu la pembeni pale Old Traford...
Usikurupuke

Unayekurupuka ni wewe. Peter Schmeichel hakuondoka Manchester United bali alistaafu kuchezea timu kubwa kwa ridhaa yake. Ni uamuzi binafsi ambao kocha aliuelewa. Gaucho aliuzwa kwa kuwa hakuhitajika tofauti na Schmeichel ambaye alikuwa bado anatakiwa na kocha na bodi.
 
kwa mara nyingine tena nimeshuhudia Nesi akishindwa kuisaidia Barca isibakwe na kwa mara nyingine tena Nesi ameshindwa kupiga shuti on target katika mechi kubwa na kwa kifupi sikumtofautisha na Gumbo au Kijuso.

Narudia kusema Messi ni Uharo.
 
Yaishe Chomba, umeshinda!
 
Shida ya wengi humu wameanza kuangalia mpira enzi hizi za Messi... Sikatai he is superb and the best footballer in this planet for the past four years and will still be, may be for the next 2-3 years!

I am a Messi fan too.. Ila jamani Dinho was something else, Enzi hizo nilikua naangalia mechi zote za Barca live.. na pia nilikua narudia mechi alizocheza huyu kiumbe mara tatu hadi nne na kuangalia anachofanya uwanjani.. hajatokea tena wa kumakaribia huyu kiumbe.. Profesa zidane angalau naweza kumsogeza kwa dinho kidogo

That said.. Messi anabaki na nafasi yake ila Tumuache Dinho aitwe Saint tu...! hafananishwi bana
 
Aisee ntajie namba yako ya simu nikurushie vocha ya elfu 10 faster...
 
dinho ni balaa lingine....tusitoe matusi wala kuongea kishabiki sana kwa kupumbazwa na ukungu wa anachokifanya messi sasa hivi na kusahau vitu alivyovifanya gaucho....hata pele au maradona hawakuwahi kufanya ya gaucho....ila tumebaki kuwatukuza tu wakati walifanya mpira kipindi ambacho sanaa ya mpira ilikuwa haijafikia climax....kila sanaa ina maendeleo yake,na mpira ni sanaa...Nikirudi kwenye topic,GAUCHO WAS AND IS THE LEGEND IN FOOTBALL HISTORY
 
Kweli kabsaaaaa
 
Hii post ilinishika sana. Chomba, Gutierez, Companero, na wengine hizo nyoda zenu!
 
Kama ni Darasani basi wa kwanza ni gaucho no.2,3،4،5،6،7،8، 9 hawajapatikana anaefata ni namba kumi ambaye ndo messi. Messi hana hata nusu goli au pasi ya goli kwenye World kap, Gaucho ni Zaid ya Pele na Maradona!
 
Messi kimekuwa flop of the Match katika kila mtandao wa Soka...
sasa ngoja waumini wake waje hapa na ushuzi wao.
Kimeshindwa kuisaidia Barca wasinyukwe goli 4-0 dhidi ya Bayern Munchen.

hapa ndo kuna tofauti kati ya mwanga wa Jua Gaucho na Mwanga wa Tochi Messi.
 
Naombeni mnipe mafanikio ya gaucho baada ya kuondoka nou camp mpaka sasa huko kwao
 
Back
Top Bottom