Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Messi is overrated........
He is what i call a media sensation
For me Gaucho hands down
Asante Liz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi is overrated........
He is what i call a media sensation
For me Gaucho hands down
Shame on you.
Mpira hauchambuliwi kupitia magazeti ya sh mia tatu ya bongo, kama unataka kuuchambua ingia maktaba na angalia mechi.
Messi ana medali ya dhahabu ya Olympic ya mwaka 2005. Kwa taarifa yako, kwenye michuano hiyo yeye ndie alikuwa mfungaji bora (6 goals)
Kama ni Xavi na Iniesta hata Gaucho alicheza nao, mbona na yeye asiwe mchezaji bora mfululizo?
La tatu, (hii ni kwa faida yako na mama Yo Yo, Gang Chomba na wengineo) Messi kwa muda wote aliochezea timu ya Taifa ya Argentina amekuwa akicheza kama Playmaker (namba 8) ukiondoa mwaka 2012 ambapo kwa mara ya Kwanza amecheza kama Namba 10 na kudhihirisha kuwa hakabiki, mechi yake ya kwanza tu kucheza kama mshambuliaji alipiga Hat-Trik. Kumbuka hapo mwanzo jukumu la kufunga lilikuwa kwa Tevez na Higuan (Fuatilieni mpira sio majungu tu)
Kwa kuongezea, magoli 4 kati ya 12 aliyoifungia Argentina mwaka 2012 ameyafunga baada ya kumaliza beki zote kwa chenga za maudhi
Kama ulivyosema, FOR YOU.
Lakini kwa mujibu wa makocha wa vilabu na manahodha wa timu za taifa, Messi ndio bora zaidi.
Na hata kama ni kumshindanisha basi Ronaldinho sio saizi yake, yupo mtu mmoja tu: Ronaldo de Lima 'The Phenomenon Boy'. Haya anayobebewa mbeleko Gaucho hata Gervinho na Kanu wamefanya
haya mambo ya kuangalia mpira ukifika DSM ndio haya matatizo yake kila mchezaji akisifiwa wewe ukiambiwa alikuwa anacheza kama Messi,hivi hukuwahi kuona mchezaji zaidi ya Messi?
kama Gaucho anacheza sasa basi Messi haoni ndani kweli Messi amefunga magoli mengi hakuna ubishi lakini mpira alikuwa anacheza Gaucho wewe umekuja leo Dar unataka watu wote wajue kuwa Messi ndio mchezaji mzuri sasa kwani nani kakubishia, umeambiwa Gaucho alikuwa zaidi ya Messi
haya mambo ya kuangalia mpira kwenye TV ukubwani yana taabu kweli
Ni kweli kabisa Ronaldinho alikuwa fundi, wengi hasa mashabiki wa hii timu hawapingi, ila kinachonifurahisha kwenye hii Thread ni kuwa ''Wachukia Messi'' humu ndani wamepata nafuu kubwa.
Anayebisha kuwa Lionel Messi si mchezaji mzuri atakuwa ana matatizo, Ile ni mashine hatari sijapata kuona. Ila anapotokea Gaucho kwenye soccer, hapo tunazungumzia uchawi. Mpira ungekuwa unaongea naamini hata wenyewe ungekiri kuwa Gaucho ni mchawi, si mchezaji wa kawaida. Kumwita Pele kuwa ni mchawi wa soka ni udhalilishaji wa taaluma ya uchawi. Aje Maradona, aje Pele wote hawajawahi kuwa wachawi wa soka ila Gaucho.
Heshima ya Messi inabaki palepale.
Kama ulivyosema, FOR YOU.
Lakini kwa mujibu wa makocha wa vilabu na manahodha wa timu za taifa, Messi ndio bora zaidi.
Na hata kama ni kumshindanisha basi Ronaldinho sio saizi yake, yupo mtu mmoja tu: Ronaldo de Lima 'The Phenomenon Boy'. Haya anayobebewa mbeleko Gaucho hata Gervinho na Kanu wamefanya
Kumbe na wewe unafikaga huku?Watu wanashindwa tu kuelewa kuwa Messi ni kweli ni mchezaji mzuri lakini ku compare na Gaucho.....jamaa yuko out of this world
Kumbe na wewe unafikaga huku?
BTW hongera kwa kupanda cheo toka Verified U mpaka PM.... lol
Kwangu mimi baada ya Pele ni Dinho tu,
Watu hawafuatilii tu soka la brazil lakini vitu anavyofanya Dinho pale brazil kwa sasa ni balaaa!
Najua gang chomba unaona wivu na umechanganyikiwa baada ya timu yako Ac milan kupangiwa na Barcelona uefa mtoano,, na utakoma mwaka huu navyomjua messi na wale wazee wenu wa milan mbona mtaipata..
Naona kabisa hat trick ya messi na ball possesion barcelona 85 kwa 15 parcent ya milan
Hata kama mpira unadunda ila Ac milan kuitoa Barcelona ya kina Messi haiwezekani,, pole sanaa gan chomba
Dinho anakokota mpira katika upande wa kushoto....anamtambuka salgado...dinho anaingia kwenye kumi nane ...hatari pale....... Goooooooooooooo......mechi hii Madrid alikufa sita kwa mbili....benabeu...Lol Dinho kiboko.....
Kwangu mimi baada ya Pele ni Dinho tu,
Watu hawafuatilii tu soka la brazil lakini vitu anavyofanya Dinho pale brazil kwa sasa ni balaaa!
Kijana nahisi ume google site ya somalia inakusomea kinyume nyume..... hujui unaloliandika acha wanaojua waandike.....Messi kaanza career yake kwenye timu ya taifa under 20 mwaka june 2004 katia ya argentina na paraguay hakucheza kama middle kama unavyosema alicheza kama FWD mwaka 2005 kombe la dunia la vijana lililofanyika uholanzi hiki ndio kikosi cha argentina.....