Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Shame on you.

Mpira hauchambuliwi kupitia magazeti ya sh mia tatu ya bongo, kama unataka kuuchambua ingia maktaba na angalia mechi.

Messi ana medali ya dhahabu ya Olympic ya mwaka 2005. Kwa taarifa yako, kwenye michuano hiyo yeye ndie alikuwa mfungaji bora (6 goals)

Kama ni Xavi na Iniesta hata Gaucho alicheza nao, mbona na yeye asiwe mchezaji bora mfululizo?

La tatu, (hii ni kwa faida yako na mama Yo Yo, Gang Chomba na wengineo) Messi kwa muda wote aliochezea timu ya Taifa ya Argentina amekuwa akicheza kama Playmaker (namba 8) ukiondoa mwaka 2012 ambapo kwa mara ya Kwanza amecheza kama Namba 10 na kudhihirisha kuwa hakabiki, mechi yake ya kwanza tu kucheza kama mshambuliaji alipiga Hat-Trik. Kumbuka hapo mwanzo jukumu la kufunga lilikuwa kwa Tevez na Higuan (Fuatilieni mpira sio majungu tu)

Kwa kuongezea, magoli 4 kati ya 12 aliyoifungia Argentina mwaka 2012 ameyafunga baada ya kumaliza beki zote kwa chenga za maudhi

Hebu nitajie namba anayocheza Saint Gaucho awapo dimbani?
 
Kama ulivyosema, FOR YOU.

Lakini kwa mujibu wa makocha wa vilabu na manahodha wa timu za taifa, Messi ndio bora zaidi.

Na hata kama ni kumshindanisha basi Ronaldinho sio saizi yake, yupo mtu mmoja tu: Ronaldo de Lima 'The Phenomenon Boy'. Haya anayobebewa mbeleko Gaucho hata Gervinho na Kanu wamefanya

Maaaaavi...
 
haya mambo ya kuangalia mpira ukifika DSM ndio haya matatizo yake kila mchezaji akisifiwa wewe ukiambiwa alikuwa anacheza kama Messi,hivi hukuwahi kuona mchezaji zaidi ya Messi?
kama Gaucho anacheza sasa basi Messi haoni ndani kweli Messi amefunga magoli mengi hakuna ubishi lakini mpira alikuwa anacheza Gaucho wewe umekuja leo Dar unataka watu wote wajue kuwa Messi ndio mchezaji mzuri sasa kwani nani kakubishia, umeambiwa Gaucho alikuwa zaidi ya Messi
haya mambo ya kuangalia mpira kwenye TV ukubwani yana taabu kweli

Teh teh huyo kaja kwa shemeji enzi ya Nesi.
Ndio kuna mwingine akakurupuka na kusema eti Barca keshawahi kumfunga AC Milan goli 4-0...
Yaani angekuwa karibu yangu ningemtemea mate.
 
Anayebisha kuwa Lionel Messi si mchezaji mzuri atakuwa ana matatizo, Ile ni mashine hatari sijapata kuona. Ila anapotokea Gaucho kwenye soccer, hapo tunazungumzia uchawi. Mpira ungekuwa unaongea naamini hata wenyewe ungekiri kuwa Gaucho ni mchawi, si mchezaji wa kawaida. Kumwita Pele kuwa ni mchawi wa soka ni udhalilishaji wa taaluma ya uchawi. Aje Maradona, aje Pele wote hawajawahi kuwa wachawi wa soka ila Gaucho.

Heshima ya Messi inabaki palepale.
 
Najua gang chomba unaona wivu na umechanganyikiwa baada ya timu yako Ac milan kupangiwa na Barcelona uefa mtoano,, na utakoma mwaka huu navyomjua messi na wale wazee wenu wa milan mbona mtaipata..

Naona kabisa hat trick ya messi na ball possesion barcelona 85 kwa 15 parcent ya milan

Hata kama mpira unadunda ila Ac milan kuitoa Barcelona ya kina Messi haiwezekani,, pole sanaa gan chomba
 
Lolz! Kweli mkuu, ila kiukweli Messi kwa sasa hashikiki aisee... He is the only one making headlines...
Ni kweli kabisa Ronaldinho alikuwa fundi, wengi hasa mashabiki wa hii timu hawapingi, ila kinachonifurahisha kwenye hii Thread ni kuwa ''Wachukia Messi'' humu ndani wamepata nafuu kubwa.
 
Anayebisha kuwa Lionel Messi si mchezaji mzuri atakuwa ana matatizo, Ile ni mashine hatari sijapata kuona. Ila anapotokea Gaucho kwenye soccer, hapo tunazungumzia uchawi. Mpira ungekuwa unaongea naamini hata wenyewe ungekiri kuwa Gaucho ni mchawi, si mchezaji wa kawaida. Kumwita Pele kuwa ni mchawi wa soka ni udhalilishaji wa taaluma ya uchawi. Aje Maradona, aje Pele wote hawajawahi kuwa wachawi wa soka ila Gaucho.

Heshima ya Messi inabaki palepale.

Watu wanashindwa tu kuelewa kuwa Messi ni kweli ni mchezaji mzuri lakini ku compare na Gaucho.....jamaa yuko out of this world
 
Kama ulivyosema, FOR YOU.

Lakini kwa mujibu wa makocha wa vilabu na manahodha wa timu za taifa, Messi ndio bora zaidi.

Na hata kama ni kumshindanisha basi Ronaldinho sio saizi yake, yupo mtu mmoja tu: Ronaldo de Lima 'The Phenomenon Boy'. Haya anayobebewa mbeleko Gaucho hata Gervinho na Kanu wamefanya

Nakwambia hii era ya Messi itapita tu kama ilivyopita kwa wengine na ukija kuangalia nyuma bila ya kelele zote za sifa utakuja kuona wazi nini watu wanaongelea.
Tutaangalia nyuma na kumuona Messi kama mojawapo wa wachezaji bora na si bora kuliko........hizi Media zinajua sana ku sensationalize kitu na kukiweka juu kionekane bora kupita maelezo ili wauze but looking at raw quality that will last us forever Gaucho ana ladha na ujuzi wa ajabu
 
Watu wanashindwa tu kuelewa kuwa Messi ni kweli ni mchezaji mzuri lakini ku compare na Gaucho.....jamaa yuko out of this world
Kumbe na wewe unafikaga huku?

BTW hongera kwa kupanda cheo toka Verified U mpaka PM.... lol
 
Kwangu mimi baada ya Pele ni Dinho tu,

Watu hawafuatilii tu soka la brazil lakini vitu anavyofanya Dinho pale brazil kwa sasa ni balaaa!
 
Dinho anakokota mpira katika upande wa kushoto....anamtambuka salgado...dinho anaingia kwenye kumi nane ...hatari pale....... Goooooooooooooo......mechi hii Madrid alikufa sita kwa mbili....benabeu...Lol Dinho kiboko.....
 
Kwangu mimi baada ya Pele ni Dinho tu,

Watu hawafuatilii tu soka la brazil lakini vitu anavyofanya Dinho pale brazil kwa sasa ni balaaa!

Pele hajamfikia Ronaldinho, achana na simulizi za kina Kajubi kuhusu "Pele Mchawi wa Soka' - mpira si historia za Gang Chomba!

Baada ya Maradona na Messi mkali ni Ronaldo (wa ukweli) na Ronaldinho, wengine wanafuatia kwa karibu kama sio mbali!
 
Najua gang chomba unaona wivu na umechanganyikiwa baada ya timu yako Ac milan kupangiwa na Barcelona uefa mtoano,, na utakoma mwaka huu navyomjua messi na wale wazee wenu wa milan mbona mtaipata..

Naona kabisa hat trick ya messi na ball possesion barcelona 85 kwa 15 parcent ya milan

Hata kama mpira unadunda ila Ac milan kuitoa Barcelona ya kina Messi haiwezekani,, pole sanaa gan chomba

Nilijua tu ana kitu kinamnyong'oa maungoni, kumbe ni wasiwasi wa kubemendwa na Messi. Na shida moja ya Messi bwana, ukimkufuru unalaanika.
 
Dinho anakokota mpira katika upande wa kushoto....anamtambuka salgado...dinho anaingia kwenye kumi nane ...hatari pale....... Goooooooooooooo......mechi hii Madrid alikufa sita kwa mbili....benabeu...Lol Dinho kiboko.....

Yaani kila mnakokimbilia mnakutana na picha ya MESSI. Kwa taarifa yako, kwa historia ya ulimwengu, Lionel Andres 'Leo' Messi ndio binadamu anayeongoza kwa kuifunga magoli Real Madrid majigoli mengi. Tulia nitakubandikia idadi baadaye halafu uone kama kuna mtu mwingine ambaye amefunga angalau nusu yake
 
Kwangu mimi baada ya Pele ni Dinho tu,

Watu hawafuatilii tu soka la brazil lakini vitu anavyofanya Dinho pale brazil kwa sasa ni balaaa!

Kweli, maana wangekuwa wanafuatilia kama wewe basi ungeona ameshasajiliwa kwenye club kubwa zenye fedha.

Anzhi Makatchakala, PSG, Man City, New York Redbull wooote hao wamuache tu kama kweli anapiga kipute cha maana? Mtu soka likiisha hamtaweza kulirudisha na midomo yenu. Niambie yuko kwao Brazil anapiga chenga, sio kucheza soka
 
Shame on you.

Mpira hauchambuliwi kupitia magazeti ya sh mia tatu ya bongo, kama unataka kuuchambua ingia maktaba na angalia mechi.

Messi ana medali ya dhahabu ya Olympic ya mwaka 2005. Kwa taarifa yako, kwenye michuano hiyo yeye ndie alikuwa mfungaji bora (6 goals)

Kama ni Xavi na Iniesta hata Gaucho alicheza nao, mbona na yeye asiwe mchezaji bora mfululizo?

La tatu, (hii ni kwa faida yako na mama Yo Yo, Gang Chomba na wengineo) Messi kwa muda wote aliochezea timu ya Taifa ya Argentina amekuwa akicheza kama Playmaker (namba 8) ukiondoa mwaka 2012 ambapo kwa mara ya Kwanza amecheza kama Namba 10 na kudhihirisha kuwa hakabiki, mechi yake ya kwanza tu kucheza kama mshambuliaji alipiga Hat-Trik. Kumbuka hapo mwanzo jukumu la kufunga lilikuwa kwa Tevez na Higuan (Fuatilieni mpira sio majungu tu)

Kwa kuongezea, magoli 4 kati ya 12 aliyoifungia Argentina mwaka 2012 ameyafunga baada ya kumaliza beki zote kwa chenga za maudhi
Kijana nahisi ume google site ya somalia inakusomea kinyume nyume..... hujui unaloliandika acha wanaojua waandike.....Messi kaanza career yake kwenye timu ya taifa under 20 mwaka june 2004 katia ya argentina na paraguay hakucheza kama middle kama unavyosema alicheza kama FWD mwaka 2005 kombe la dunia la vijana lililofanyika uholanzi hiki ndio kikosi cha argentina.....
[TABLE="class: sortable jquery-tablesorter, width: 100%"]
[TR]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]GK[/TD]
[TD]Óscar Ustari[/TD]
[TD]03 July 1986 (aged 18)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Independiente[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Gustavo Cabral[/TD]
[TD]14 October 1985 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Racing Club[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]3[/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Lautaro Formica[/TD]
[TD]27 January 1986 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Newell's Old Boys[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Julio Barroso[/TD]
[TD]16 January 1985 (aged 20)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Boca Juniors[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Juan Manuel Torres[/TD]
[TD]20 June 1985 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Racing Club[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Gabriel Paletta[/TD]
[TD]15 February 1986 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Banfield[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Lucas Biglia[/TD]
[TD]30 January 1986 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Independiente[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Pablo Zabaleta[/TD]
[TD]16 January 1985 (aged 20)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] San Lorenzo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Pablo Vitti[/TD]
[TD]09 July 1985 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Rosario Central[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Patricio Pérez[/TD]
[TD]27 June 1985 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Vélez Sársfield[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Emiliano Armenteros[/TD]
[TD]18 January 1986 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Banfield[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]GK[/TD]
[TD]Nereo Champagne[/TD]
[TD]20 January 1985 (aged 20)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] San Lorenzo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Ezequiel Garay[/TD]
[TD]10 October 1986 (aged 18)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Newell's Old Boys[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]David Abraham[/TD]
[TD]15 July 1986 (aged 18)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Independiente[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Rodrigo Archubi[/TD]
[TD]06 June 1985 (aged 20)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Lanús[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]16[/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Neri Cardozo[/TD]
[TD]08 August 1986 (aged 18)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Boca Juniors[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Fernando Gago[/TD]
[TD]10 April 1986 (aged 19)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Boca Juniors[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Lionel Messi[/TD]
[TD]24 June 1987 (aged 17)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Barcelona[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]19[/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Sergio Agüero[/TD]
[TD]02 June 1988 (aged 17)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Independiente[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]20[/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Gustavo Oberman[/TD]
[TD]25 March 1985 (aged 20)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Argentinos Juniors[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]21[/TD]
[TD="align: center"]GK[/TD]
[TD]Nicolás Navarro[/TD]
[TD]25 March 1985 (aged 20)[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD] Argentinos Juniors[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

kama hujui maana ya FW nakupa Forwards, also known as Strikers, are the players on a team in Association Football who play nearest to the opposing team's goal, and are therefore principally responsible for scoring goals.
 
Back
Top Bottom