Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Mkuu, Ronaldinho hakuwepo Barca wakati wa Pep Guardiola..!
Si ndio hawa hawa, hiyo mechi Barca alimpiga Madrid bao 6 kwa 2 mabao yalifungwa na Thierry Henry 2, Messi 2, Puyol 1 na Pique 1.
Sasa mwenzetu sijui kakurupukia wapi. Ndio hawa hawa kina mama Yo Yo
Last edited by a moderator: