RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Wakisema kabeba Balloon d'or au kabeba W Cup unaanza kuongea habari za akina Lahm,wakisema kapigiwa makofi na Madrid unaanza habari za akina Iniesta. Sasa kuna haja gani ya kuuliza hilo swali
Kwani kupigiwa makofi ni ajabu au hukuona kwa inesta?
 
Basi acheni kumlinganisha pogba na kbd kama stastics sio issue kwaiyo tumkubali mchezaji kwa maneno tu lakn hakuna cha maana alichofanya?
Kuna mtu anamuongelea Pogba hapa? Angalia hii mada jinsi ilivyo haipo Kwa mtizamo wa Statistics, ipo Kwa staili watu ambavyo watu aliwapa burudani. We unaleta habari za akina Hussein Bolt
 
Nani kamtaja usain bolt leta stastics za neymar vs gaucho
 
Weka statistics za neymar Jr na gaucho namba hazidanganyi mkuu

Ndipo utapogundua gaucho alikuwa kilaza tu
We ukienda kwa statistics utakuta 2018 hata Firmino kamzidi huyo neymar. Hizo statistics ni sio za kihivyo na ndio maana na statistics zote huyo neymar hutakuta Wolrd Cup ikiwepo. Ingawa now wanamtafutia uchezaji bora wa dunia[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maana walitegemea achukue wolrd cup 2014 wakala 7[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] now Messi anachukua tena na yeye miaka inaenda tu...Then atapewa Coutinho hizo statistics za magoli sijui wanazo hata akina van neystrooy akina popo inhzagi walikuwa wanavizia kila siku.
Mpe mpira neymar afanye vitu them mpe dinho then waambie kila mtu afanye cha mwenzake ndo utajua.
Hizo statistics hachezi mpira peke yake uwanjani analetewa pasi...TENA ANAGOMBANIA HADI PENATI ANALILIA eti kisa Statistics[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Leta stastics za 2018 firminho alizomzidi neymar kama kampita nitakubali kuitwa shoga
 
Leta stastics kama zitaonyesha gaucho ni bora kuliko neymar nitajitoa JF
Neymar kashabeba ndoo ya Dunia?
Neymar kashapata uchezaji Bora wa Dunia?
NB:Usihamishe mada yako Kwa kuanza kuwaongelea akina Lahm ujikite Kwa Neymar.Nategemea utajibu kuwa Ndiyo Neymar kabeba Woza mara tatu au zaidi,nategemea utasema Neymar kabeba ballon d'or mara kadhaa.
 
Leta stastics ya goals na assist mkuu ndoo ya dunia hata lahm anayo leta goals na assist ndyo hapo utapogundua kuwa neymar anakimbiza record ya pelle ya goal 77 yeye ana 55 kina gaucho hata hawatambuliki ni mbwa mbwa tu
 
Neymar kashabeba ndoo ya Dunia?
Neymar kashapata uchezaji Bora wa Dunia?
NB:Usihamishe mada yako Kwa kuanza kuwaongelea akina Lahm ujikite Kwa Neymar.Nategemea utajibu kuwa Ndiyo Neymar kabeba Woza mara tatu au zaidi,nategemea utasema Neymar kabeba ballon d'or mara kadhaa.
Leta statistics ya goals ana assist
 
Mashabiki wa gaucho mnataka huyo mbwa wenu aonewe huruma wakati ni kilaza
 
Huyo hana chochote zaidi ya kujipiga vyenga ndyo maana record zake binafsi za barca na Brazil zimefunikwa na neymar Jr
Wewe either ni mgeni wa mpira wa kimataifa au ni unazi tu, wivu, Dino ameshinda tuzo zote, la liga, Uefa champion, Fifa world cup na mengine mengi, Nemair na Messi Fifa world cup bado hivyo huwezi kuwalinganisha na Dino!
 
Back
Top Bottom