We ukienda kwa statistics utakuta 2018 hata Firmino kamzidi huyo neymar. Hizo statistics ni sio za kihivyo na ndio maana na statistics zote huyo neymar hutakuta Wolrd Cup ikiwepo. Ingawa now wanamtafutia uchezaji bora wa dunia[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maana walitegemea achukue wolrd cup 2014 wakala 7[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] now Messi anachukua tena na yeye miaka inaenda tu...Then atapewa Coutinho hizo statistics za magoli sijui wanazo hata akina van neystrooy akina popo inhzagi walikuwa wanavizia kila siku.
Mpe mpira neymar afanye vitu them mpe dinho then waambie kila mtu afanye cha mwenzake ndo utajua.
Hizo statistics hachezi mpira peke yake uwanjani analetewa pasi...TENA ANAGOMBANIA HADI PENATI ANALILIA eti kisa Statistics[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].