Kwani kupigiwa makofi ni ajabu au hukuona kwa inesta?Wakisema kabeba Balloon d'or au kabeba W Cup unaanza kuongea habari za akina Lahm,wakisema kapigiwa makofi na Madrid unaanza habari za akina Iniesta. Sasa kuna haja gani ya kuuliza hilo swali
Leta stastics za neymar na gaucho games played goals and assist za pale barca hata za PSG LetaTatizo tukileta Statistics unaanza kuwaongelea akina Lahm
Kwa kujipiga chenga sawa wao ni boraHakuna kama Gaucho labda Okocha toka Nigeria mi sijaona hawa jamaa
Kuna mtu anamuongelea Pogba hapa? Angalia hii mada jinsi ilivyo haipo Kwa mtizamo wa Statistics, ipo Kwa staili watu ambavyo watu aliwapa burudani. We unaleta habari za akina Hussein BoltBasi acheni kumlinganisha pogba na kbd kama stastics sio issue kwaiyo tumkubali mchezaji kwa maneno tu lakn hakuna cha maana alichofanya?
Kuna watu wanachuma Dhambi Kwa kujitakiaPole sana mkuu inaonekana umeanza kufuatilia mpira juzi kazi.
Kwenye mpira kumfananisha Fundi Gaucho na messi ni sawa na ramli chonganishi.
#UTAFUNGWA#
Umeelewa nilichomaanisha? Hizo Statistics Neymar hazijamsaidia kubeba uchezaji Bora wa Dunia?Changa toka lini ikawekwa kwenye stastics ninazodai?
Letta comparison ya goals and assist
Leta stastics kama zitaonyesha gaucho ni bora kuliko neymar nitajitoa JFKuna watu wanachuma Dhambi Kwa kujitakia
Nani kamtaja usain bolt leta stastics za neymar vs gauchoKuna mtu anamuongelea Pogba hapa? Angalia hii mada jinsi ilivyo haipo Kwa mtizamo wa Statistics, ipo Kwa staili watu ambavyo watu aliwapa burudani. We unaleta habari za akina Hussein Bolt
Iniesta ndiyo Neymar,nenda wewe kama utapigiwa makofi? Mpeleke Neema wako kama atapigiwaKwani kupigiwa makofi ni ajabu au hukuona kwa inesta?
Kama kamzidi na hajabeba ujue Huyo jamaa wako he is overatted na hakukuwa na best playersUmeelewa nilichomaanisha? Hizo Statistics Neymar hazijamsaidia kubeba uchezaji Bora wa Dunia?
Kama ni Statistics hata hapa twaweza pata Kwa kupiga kura,mwenye kura nyingi ndiyo tutamuita fundiLeta stastics za neymar na gaucho games played goals and assist za pale barca hata za PSG Leta
We ukienda kwa statistics utakuta 2018 hata Firmino kamzidi huyo neymar. Hizo statistics ni sio za kihivyo na ndio maana na statistics zote huyo neymar hutakuta Wolrd Cup ikiwepo. Ingawa now wanamtafutia uchezaji bora wa dunia[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maana walitegemea achukue wolrd cup 2014 wakala 7[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] now Messi anachukua tena na yeye miaka inaenda tu...Then atapewa Coutinho hizo statistics za magoli sijui wanazo hata akina van neystrooy akina popo inhzagi walikuwa wanavizia kila siku.Weka statistics za neymar Jr na gaucho namba hazidanganyi mkuu
Ndipo utapogundua gaucho alikuwa kilaza tu
Neema sijui ni mama yako au kahaba mwenzio?Iniesta ndiyo Neymar,nenda wewe kama utapigiwa makofi? Mpeleke Neema wako kama atapigiwa
Acha uongo stastics ni goals na assist izo za kura huwa mnafanya kwenye family yenuKama ni Statistics hata hapa twaweza pata Kwa kupiga kura,mwenye kura nyingi ndiyo tutamuita fundi
Leta stastics za 2018 firminho alizomzidi neymar kama kampita nitakubali kuitwa shogaWe ukienda kwa statistics utakuta 2018 hata Firmino kamzidi huyo neymar. Hizo statistics ni sio za kihivyo na ndio maana na statistics zote huyo neymar hutakuta Wolrd Cup ikiwepo. Ingawa now wanamtafutia uchezaji bora wa dunia[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maana walitegemea achukue wolrd cup 2014 wakala 7[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] now Messi anachukua tena na yeye miaka inaenda tu...Then atapewa Coutinho hizo statistics za magoli sijui wanazo hata akina van neystrooy akina popo inhzagi walikuwa wanavizia kila siku.
Mpe mpira neymar afanye vitu them mpe dinho then waambie kila mtu afanye cha mwenzake ndo utajua.
Hizo statistics hachezi mpira peke yake uwanjani analetewa pasi...TENA ANAGOMBANIA HADI PENATI ANALILIA eti kisa Statistics[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Neymar kashabeba ndoo ya Dunia?Leta stastics kama zitaonyesha gaucho ni bora kuliko neymar nitajitoa JF
Leta stastics ya goals na assist mkuu ndoo ya dunia hata lahm anayo leta goals na assist ndyo hapo utapogundua kuwa neymar anakimbiza record ya pelle ya goal 77 yeye ana 55 kina gaucho hata hawatambuliki ni mbwa mbwa tuNeymar kashabeba ndoo ya Dunia?
Neymar kashapata uchezaji Bora wa Dunia?
NB:Usihamishe mada yako Kwa kuanza kuwaongelea akina Lahm ujikite Kwa Neymar.Nategemea utajibu kuwa Ndiyo Neymar kabeba Woza mara tatu au zaidi,nategemea utasema Neymar kabeba ballon d'or mara kadhaa.
Leta statistics ya goals ana assistNeymar kashabeba ndoo ya Dunia?
Neymar kashapata uchezaji Bora wa Dunia?
NB:Usihamishe mada yako Kwa kuanza kuwaongelea akina Lahm ujikite Kwa Neymar.Nategemea utajibu kuwa Ndiyo Neymar kabeba Woza mara tatu au zaidi,nategemea utasema Neymar kabeba ballon d'or mara kadhaa.
Wewe either ni mgeni wa mpira wa kimataifa au ni unazi tu, wivu, Dino ameshinda tuzo zote, la liga, Uefa champion, Fifa world cup na mengine mengi, Nemair na Messi Fifa world cup bado hivyo huwezi kuwalinganisha na Dino!Huyo hana chochote zaidi ya kujipiga vyenga ndyo maana record zake binafsi za barca na Brazil zimefunikwa na neymar Jr