RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Huyo hana chochote zaidi ya kujipiga vyenga ndyo maana record zake binafsi za barca na Brazil zimefunikwa na neymar Jr
watoto wa juz bhana mnasumbua sana
dinho was more complete player than mess na ronaldo
kitu pekee ambacho mess na ronaldo wanamzidi dinho ni discipline ya mpira tu coz mess na ronaldo wana train sana kumaintain talent yao ila dinho ilifikia kipind hachez mech ya barca bila kua amegongana na dem sasa unahisi nan mwingne ataweza wengne wakijaribu utaishia pabaya sana

ila dinho kwenye peak yake yuko peke yake sioni wa kumshndanisha nae
 
Kipindi hicho hakukuwa na mafundi wazuri ndio maana yeye atleast alionekana onekana. Kipindi cha hiki cha king Messi angelikuwa anashika nafasi ya 10 au hata zaidi.
Hoja ya kipuuzi hii. Kila zama na nyakati zake kaka. Kwa hoja hiyo, maana yake hata zama za kina Pele na Maradona, HAPAKUWA NA MAFUNDI...!!!

Kumbuka, hata baadae, Messi na Ronaldo wataonekana hakuna kitu kwa sababu watoto hao wa baadae watakuwa na zama zao pia.
 
In messi and cr7 era hajaonekana alifichwa mno
 
Mwandishi wa LIVESCORE.COM aliandika hivi, nanukuu;

"RONALDINHO WILL BE REMEMBERED AS ONE OF THE MOST TALENTED FOOTBALLERS OF HIS GENERATION, AND NO PLAYER SINCE, HAS BROUGHT THE SAME KIND OF FLAIR TO THE PITCH AS HE DID...!!"

Na yeye muombe statistics...!!!

Wenzako wa Ulaya walimuona na waka-appreciate kiwango chake, WEWE UPO LINDI, ETI UNATAKA STATISTICS....!!!
 
Atakuwa ameshawekeza kwenye nchi yake;
hebu wafundisheni na hawa wachezaji wetu
siyo wanakuja kustaafu mpira huku hawana
hata kibanda;
 
Waambie kunatofauti ya mcheza mpira na mchezea mpira
Mkuu unaonekana hii fani umevamia , kaendelee na mieleka, Dinho si wa kumlinganisha na wafungaji hawa wawili, midfield aliekilika kuanzia kupiga pasi, kudrible mpira, short & long passes , kufunga magoli pia inapobidi, alikua ni zaidi ya game changer , shida yenu nyie mnaangalia YouTube .

Namshukuru mungu pia kwa kunifanya nimuone gaucho katika ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…