Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Leta statistics matusi sio statistics acheni maneno machafuHopeless
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta statistics matusi sio statistics acheni maneno machafuHopeless
watoto wa juz bhana mnasumbua sanaHuyo hana chochote zaidi ya kujipiga vyenga ndyo maana record zake binafsi za barca na Brazil zimefunikwa na neymar Jr
Hoja ya kipuuzi hii. Kila zama na nyakati zake kaka. Kwa hoja hiyo, maana yake hata zama za kina Pele na Maradona, HAPAKUWA NA MAFUNDI...!!!Kipindi hicho hakukuwa na mafundi wazuri ndio maana yeye atleast alionekana onekana. Kipindi cha hiki cha king Messi angelikuwa anashika nafasi ya 10 au hata zaidi.
Unakijua unschokiandika ww?Overrated tu huyo lakini si lolote kwa messiah cuccittini
Unschokiandika ni nini?Unakua unschokiandika ww?
Waambie kunatofauti ya mcheza mpira na mchezea mpiraDinho namheshimu kama ball dancer, ila kwa mazagazaga yote ya mpira hakugi kwa Messi/Ronaldo
In messi and cr7 era hajaonekana alifichwa mnoHoja ya kipuuzi hii. Kila zama na nyakati zake kaka. Kwa hoja hiyo, maana yake hata zama za kina Pele na Maradona, HAPAKUWA NA MAFUNDI...!!!
Kumbuka, hata baadae, Messi na Ronaldo wataonekana hakuna kitu kwa sababu watoto hao wa baadae watakuwa na zama zao pia.
And in his era, NA WAO WALIFICHWA.In messi and cr7 era hajaonekana alifichwa mno
Mkuu unaonekana hii fani umevamia , kaendelee na mieleka, Dinho si wa kumlinganisha na wafungaji hawa wawili, midfield aliekilika kuanzia kupiga pasi, kudrible mpira, short & long passes , kufunga magoli pia inapobidi, alikua ni zaidi ya game changer , shida yenu nyie mnaangalia YouTube .Waambie kunatofauti ya mcheza mpira na mchezea mpira
We ni mbwaMashabiki wa gaucho mnataka huyo mbwa wenu aonewe huruma wakati ni kilaza
Nenda you tube nenda gogle utazipata unataka nan akuletee?Leta statistics matusi sio statistics acheni maneno machafu
Wewe ni kunguni jikeWe ni mbwa
Hata mama yako akileta itapendezaNenda you tube nenda gogle utazipata unataka nan akuletee?
We ni mbwa jikeWewe ni kunguni jike
Mama yangu anahusikaje hapa ww sindie unaetaka takwimu...nenda uko kwenye source siyo utusumbue tu hapa na stastics stasticsHata mama yako akileta itapendeza
Alivyo vifanya messi barca mbwa gaucho hagusi hata roboWe ni mbwa jike