RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

kuna movie za action jamaa yumo Kickboxer Retaliation ikiwemo , labda kahamia upande wa pili
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa messi ni kweli messi tunaweza sema ndiye mchezaji bora kwa sasa kutokana na vitu vyake lakin ukisema umlinganishe na gaucho utakuwa unamuonea sana Gaucho ni habari nyingine anavitu vya kujua yeye tu yule jamaa sijaona kwa kizazi cha leo sijajua wale wa nyuma yangu sijawahi kumuona maladona enzi zake nilikuwa sijapata upeo wa kufatilia mpira watanisaidia wakongwe hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…