paul mahinga
Member
- Jan 16, 2018
- 32
- 32
kimsingi mimi mwenyewe nilikuwa naenda kumwangalia jamaa game hii ananogeshaje.Daaaah, I will miss him, a lot aiseee..!!! Jamaa alikuw fundi sana. Binafsi alinifanya nione dakika 90 hazitoshi kwny soka...!!!