RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Ana record gani aliyompita king Leo?

Ushawahisikia gaucho anafananishwa na pelle au maradona?

Kwann messiah anafananishwa nao?
Samahani anaitwa Messi sio messeah maana ya messeah ni mpakwa mafuta wa Bwana tafadhali zingatia matumizi ya maneno sorry for that.
 
Wewe dogo Alonso14 usiwe mpumbavu. Nimekua nakufuatilia comments zako humo unaonekana ni mjinga mjinga. Acha kutafuta umaarufu usiolipa humu JF. Acha itikadi za kujiona mhuni nyuma ya keyboard. Pumbavu kabisa!
Leta statistics za neymar na gaucho
Kufuatilia comment zangu uache mkuu kama hazikufurahishi
 
Ana record gani aliyompita king Leo?

Ushawahisikia gaucho anafananishwa na pelle au maradona?

Kwann messiah anafananishwa nao?
Samahani anaitwa Messi sio messeah maana ya messeah ni mpakwa mafuta wa Bwana tafadhali zingatia matumizi ya maneno sorry for that.
 
Gang Chomba popote ulipo swahiba njoo utie neno hapa...akizungumziwa dinho mimi kutia neno wakati upo ni kuwakosea heshima wapenzi wa huyu kiumbe pekee aliyeweza kuongea na mpira na mpira ukamsikiliza

Bado haamini macho yake, kajificha huko kwenye vitongojo vya Milani akibubujikwa na machozi ya majonzi!

Pole Gang Chomba, kila lenye mwanzo lina mwisho - Dinho aliisha miaka 10 iliyopita!

Ronaldinho's legacy: What might have been?

Inasikitisha kuona mchezaji ambaye alikuwa awe bora kuliko wote [GOAT] akistaafu bila kuonesha umahiri wake wote!

Celebrate 'Dinho, don't lament 'what ifs'
 
Ivi mbona gaucho fans boys mkiambiwa mlete statistics for comparison kati ya neymar na gaucho za Brazil,P.S.G,Barca tuone who was the best mnakasirika?
 
Statistics hazidanganyi kwa messi mbali mno maana alichokifanya messi kufunga hatrick Elcasico wakongwe walikishindwa akiwemo gaucho leta statistics neymar na gaucho ndipo utapogundua kuwa gaucho kilaza
Messi hajanyanyua kwapa kombe la Dunia
 
Wewe dogo Alonso14 usiwe mpumbavu. Nimekua nakufuatilia comments zako humo unaonekana ni mjinga mjinga. Acha kutafuta umaarufu usiolipa humu JF. Acha itikadi za kujiona mhuni nyuma ya keyboard. Pumbavu kabisa!
Alonso anatumia Google kuangalia Statistics
 
Ivi mbona gaucho fans boys mkiambiwa mlete statistics for comparison kati ya neymar na gaucho za Brazil,P.S.G,Barca tuone who was the best mnakasirika?
Tunachosema hapa ni burudani na raha tuliokua tunapata mara baada ya gaucho kuushika mpira .na kufanya vitu ambavyo hua avirudiwi na mtu

Sasa wewe unapokazia statistic sijui unamaanisha nini.

Mfano valejo ana record ya kubeba uefa mara mbili mfululizo na hajacheza mechi hata moja je uoni kama tukiangalia statistics valejo yuko juu sana japo hana kiwango chochote

Angalia kiwango cha mtu binafsi
 
Back
Top Bottom