Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Basi ndyo maana una akili za kike kike mkuuSijaoa bado,nilete posa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ndyo maana una akili za kike kike mkuuSijaoa bado,nilete posa?
Statistics za nini kwenye burudani mkuu.Hivi waweza leta statistics za kiasi gani unaenjoy kuangalia mpira? Statistics nenda Kwa kina Messi na Ronaldo Ila ukiongelea mpira Basi njoo kwa akina RonaldihnoLeta statistics zake mkuu
Ndicho tunachokimiss toka Kwa DihnoHicho ndicho alichompita?
Ndiyo Ujiulize,kuwa Statistics siyo issueKombe la dunia hata ozil analo je ni bora kuliko messi?
Kipi alichofanya gaucho neymar hajafanya?Statistics za nini kwenye burudani mkuu.Hivi waweza leta statistics za kiasi gani unaenjoy kuangalia mpira? Statistics nenda Kwa kina Messi na Ronaldo Ila ukiongelea mpira Basi njoo kwa akina Ronaldihno
Theory za mpira acha uongo
Kama unataka statistics mzumgumzie ronaldo na si messi
Numbers always don't liesKama unataka statistics mzumgumzie ronaldo na si messi
Dihno ni Bora kuliko NeeemaFabio cannavaro ni bora kuliko neymar?
Philip lahn ni bora kuliko neymar?
Goals, assist hazina umuhimu ?Ndiyo Ujiulize,kuwa Statistics siyo issue
Kipi alichofanya gaucho ambacho neymar hajafanya?Ndicho tunachokimiss toka Kwa Dihno
Kuhusu magoli hata Mwaikimba alikuwa anafunga
Labda mama yako anaeitwa Neema kuhusu neymar Jr hujanishawishi badoDihno ni Bora kuliko Neeema
Kwa Statistics hao unawapenda wewe watakuwa wapo juu.Lkn Kwa watu waliolipa kiingilio kupata Burudani ya Mpira Basi Dihno ndiyo mfalme wao.Hakuna kama Dihno.Mbele ya Dihno utatamani mpira uchezwe dakika Mia moja themaniniNazungumzia individual statistics like goals and assist
Ndyo maana mnashindwa kuleta statistics sababu mnaongozwa na hisia kuliko akili.Kwa Statistics hao unawapenda wewe watakuwa wapo juu.Lkn Kwa watu waliolipa kiingilio kupata Burudani ya Mpira Basi Dihno ndiyo mfalme wao.Hakuna kama Dihno.Mbele ya Dihno utatamani mpira uchezwe dakika Mia moja themanini
Huyu jamaa nadhani hajawahi faidi Radha ya Mpira.Anaongelea Statistics tu hicho ndio anajua.Ila kuhusu Radha ya mpira sijui kama anajua chochoteKama unataka statistics mzumgumzie ronaldo na si messi