RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Statistics za nini kwenye burudani mkuu.Hivi waweza leta statistics za kiasi gani unaenjoy kuangalia mpira? Statistics nenda Kwa kina Messi na Ronaldo Ila ukiongelea mpira Basi njoo kwa akina Ronaldihno
Kipi alichofanya gaucho neymar hajafanya?
 
Nazungumzia individual statistics like goals and assist
Kwa Statistics hao unawapenda wewe watakuwa wapo juu.Lkn Kwa watu waliolipa kiingilio kupata Burudani ya Mpira Basi Dihno ndiyo mfalme wao.Hakuna kama Dihno.Mbele ya Dihno utatamani mpira uchezwe dakika Mia moja themanini
 
Ndyo maana mnashindwa kuleta statistics sababu mnaongozwa na hisia kuliko akili.
Burudani ipi aliyoifanya gaucho neymar hajaifanya?
 
Back
Top Bottom