Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Rasi simba 0768324543Is a beater truth but Brazil is an average team
Is he your husband or what!?Rasi simba 0768324543
Forward Richarlison, ujue ni majanga matupu.Ni kweli kabisa Brazil ya miaka hii kuanzia 2010 mpaka sasa ni kama Wolves iliyoamua kuchangamka tu.
Mkuu mimi sijawahi kuipenda Taifa Stars katika uhai wangu, ikicheza na timu nyingine mimi nakuwa upande wa hiyo timu nyingine. Taifa stars kwangu ni sawa na makolo tu.Atakuwa anashabikia kimoyomoyo, timu yako ya taifa ni yako tu iwe na wakati mzuri au mbaya, aache kudeka, hata wakati wao hawakuwa wakishinda makombe yote, labda Copa America pekee.
Kama vipi akane na uraia wa Brazil atafute nchi nyingine ahamie naamini uwezo kiuchumi anao, ili ajiweke mbali kabisa na hiyo timu, hivyo ataweza kuishi kwa amani.
Wew ni nanga pro maxHuu Uzi ni uzushi na umejaa uongo,Ronaldihno mwenyewe amekanusha kuhusu hill,hao ni scammers wa mtandaoni. Kauli rasmi ya Dinho ni hii..
🎙️RONALDINHO:
(On his statements)
“These are things we see on the internet. I said that to get a reaction from everyone. I'm going to support Brazil like never before. "
"Brazil needs this support, the young players have a lot of talent and are in dire need of support from Brazilian people. It's Copa America now and we can come back with a trophy."
"I teamed up with Rexona to support Brazil, and we will create this massive chain of support for Brazil."
Paw ,Cookie