Ronaldinho Gaucho atangaza kuacha kushabikia timu yake ya taifa ya Brazil

Ronaldinho Gaucho atangaza kuacha kushabikia timu yake ya taifa ya Brazil

Uko uwezekano kwa mara ya kwanza Brazil ikakosekana katika mashindano ya 2026 World Cup!
Kwa kweli ni timu mbovu kuwahi kutokea!
Bora wakose nafasi ya WC 2026 labda ndo wataamka
 
Atakuwa anashabikia kimoyomoyo, timu yako ya taifa ni yako tu iwe na wakati mzuri au mbaya, aache kudeka, hata wakati wao hawakuwa wakishinda makombe yote, labda Copa America pekee.

Kama vipi akane na uraia wa Brazil atafute nchi nyingine ahamie naamini uwezo kiuchumi anao, ili ajiweke mbali kabisa na hiyo timu, hivyo ataweza kuishi kwa amani.
Tunatofautiana mkuu, mimi toka Maximo aondoke sijawahi kuishabikia Starz na ikifungwa ndo furaha yangu inazidi.
 
🇧🇷 Ronaldinho: “That’s it guys, I will not watch any Brazil game at the Copa América nor celebrate any victory”.

“I’ve had enough. It’s a sad moment for those who love Brazilian football. It’s hard now to find the spirit to watch the games”.

“It’s one of the worst teams in the recent years, no respectable leaders, only average players for the majority”.

“I’ve never seen a situation as bad as this. Lack of love for Brazil shirt and lack of football”.

“Our performance has been one of the worst things I’ve ever seen, it’s such a shame”.
Uongo
 
Back
Top Bottom