Atakuwa anashabikia kimoyomoyo, timu yako ya taifa ni yako tu iwe na wakati mzuri au mbaya, aache kudeka, hata wakati wao hawakuwa wakishinda makombe yote, labda Copa America pekee.
Kama vipi akane na uraia wa Brazil atafute nchi nyingine ahamie naamini uwezo kiuchumi anao, ili ajiweke mbali kabisa na hiyo timu, hivyo ataweza kuishi kwa amani.