Ronaldo atoa msaada wa fedha kwa familia za wachezaji waliofia katika ajali ya ndege

Ronaldo atoa msaada wa fedha kwa familia za wachezaji waliofia katika ajali ya ndege

Ingekuwa Tanzania ungeckia hiyo pesa imepangiwa kazi nyingine kwani sio serikali iliyosababisha wapate hiyo ajari!
 
mmkumbushe na Messi jamani aikwepe kuwasaidia kama anavyokwepa kodi.
 
On behalf of myself and ghetto people natoa pole nyingi kwao, ukisoma historia ya hii club inasikitisha sana.
Natoa pole kwao na wapenzi wote wa mpira, hii timu inahistoria gani mkuu?
Ya majonzi au nzuri?
 
manchester city kiboko
wenger bahili kama kawaida yake

Wenger anahusikaje na pesa za majanga duh?alafu mbona haujasema Pep kiboko ila umeitaja Man City kheeee kheeee chuki mwanzo mwisho bro' [emoji23][emoji23]
 
Halaf wenzetu bwana hawana longolongo na tamaa za kijinga kama kwetu afrika..hela ikitolewa zinaenda direct kwa wahusika kama ni familia zinaenda huko familia zote za wachezaji waliopoteza maisha zinakusanywa data zao za kibenki kwaio misaada ikija tu na information zinarushwa kwao ...kama ni timu basi zinaenda kwenye akaunt ya timu, ila ingekua huku kwetu zile 80 percent zinapigwa na wadau
NDO MAANA WENZETU WANAZIDI KUBARIKIWA........
 
Wenger anahusikaje na pesa za majanga duh?alafu mbona haujasema Pep kiboko ila umeitaja Man City kheeee kheeee chuki mwanzo mwisho bro' [emoji23][emoji23]
Chuki ??
naichukia nini ??
 
Halaf wenzetu bwana hawana longolongo na tamaa za kijinga kama kwetu afrika..hela ikitolewa zinaenda direct kwa wahusika kama ni familia zinaenda huko familia zote za wachezaji waliopoteza maisha zinakusanywa data zao za kibenki kwaio misaada ikija tu na information zinarushwa kwao ...kama ni timu basi zinaenda kwenye akaunt ya timu, ila ingekua huku kwetu zile 80 percent zinapigwa na wadau

cool, ila hapa kwetu utashangaa hatuna culture ya ukweli na aibu, utakuta janga likitokea hata wasiohusika wanajichomeka humo na kupelekea kufanya scenario nzima iwe ya utata. Wenzetu hawafuatilii dini sisi tunazijua haswa, ila inapofika kuiba haki ya mwenzio ni easy tu. Hivyo hisije shangaa na kusali kwetu kutwa kufanikiwa ikawa ni ngumu maana kuna vilio vingi vinatulilia daima
 
Back
Top Bottom