Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,595
- 1,419
Ha ha haaaaaaaaHizo haziendi kweli kujenga miundo mbinu na kununua ndege mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaaaaaaHizo haziendi kweli kujenga miundo mbinu na kununua ndege mpya
najua kuna wachezaji na wadau wengine watajitoleani kweli sio mchoyo[emoji1]
Hata za marehemu mawazo zilipigwaLa la la! Huyu Ronaldo angejua na haya yetu ya tetemeko kule Kagera nadhani angetuchangia nyingi.
Kibaya ni kuwa zingepigwa zote na serikali.
Kwani serikali ilikusanya na huko? Maana mla rambirambi ni hao tuu kulingana na rekodi za nchi. Hata hivyo Mawazo walikuwa hawataki hata azikwe sijui walitaka awekwe Makumbusho wawafundishie makada wao kuwa jamaa alitusumbua sana kama wajerumani walivyotaka fuvu la Mkwawa?Hata za marehemu mawazo zilipigwa
Ni mara 3 mkuuMessi katoa Mara mbili ya Ronaldo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] uchochezi wa makusudi
Ni mara 3 mkuu
On behalf of myself and people of repuplic i deeply express....very sory for all the family members for such a great sorrow that cn take tym 2recover.
Rest in peace our heroes
Wenger angekuwa huku bongo angekuwa wa lile kabila ambalo wanaishi safu za milima iliyoko upande wa kushoto kama unaelekea Dar kutoka njiapanda ya Himo.manchester city kiboko
wenger bahili kama kawaida yake
Ngoja wakusikie. Familia iko fresh haitaathirika na kutokuwepo kwako kwa muda wowote?Ingekua tanzania ingekwapuliwa na sirikali!!
manchester UnitedOfficial have informed FIFA that they will donate €89M to ChapecoenseMkuu angerekebisha kidogo hapo,ungeanza na walio-donate pesa nyingi.
PlayerZ:
- Messi £10M
- Cr7 £3M
Clubs
- El Barca £160M
- City £89M
- Chelsea £80M
- Arsenal £4M
Aya za shetani.Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga. Maelezo
Qur'an 28:Aya za shetani.
Mbona mahaba yenu ya siasa mnaleta kwenye michezo lazima kuwe na kitu ambacho tutakua pamojawatu wa itikadi zote za kisiasaKwani serikali ilikusanya na huko? Maana mla rambirambi ni hao tuu kulingana na rekodi za nchi. Hata hivyo Mawazo walikuwa hawataki hata azikwe sijui walitaka awekwe Makumbusho wawafundishie makada wao kuwa jamaa alitusumbua sana kama wajerumani walivyotaka fuvu la Mkwawa?