Ronaldo atoa msaada wa fedha kwa familia za wachezaji waliofia katika ajali ya ndege

Ronaldo atoa msaada wa fedha kwa familia za wachezaji waliofia katika ajali ya ndege

On behalf of myself and people of repuplic i deeply express....very sory for all the family members for such a great sorrow that cn take tym 2recover.
Rest in peace our heroes
 
La la la! Huyu Ronaldo angejua na haya yetu ya tetemeko kule Kagera nadhani angetuchangia nyingi.
Kibaya ni kuwa zingepigwa zote na serikali.
Hata za marehemu mawazo zilipigwa
 
Hakuna sehemu alipotajwa Messi kuwa ametoa hizo hela zaidi ya speculation tu
 
Hata za marehemu mawazo zilipigwa
Kwani serikali ilikusanya na huko? Maana mla rambirambi ni hao tuu kulingana na rekodi za nchi. Hata hivyo Mawazo walikuwa hawataki hata azikwe sijui walitaka awekwe Makumbusho wawafundishie makada wao kuwa jamaa alitusumbua sana kama wajerumani walivyotaka fuvu la Mkwawa?
 
Messi katoa Mara mbili ya Ronaldo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] uchochezi wa makusudi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni mara 3 mkuu
1480507435916.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] KaMessi kakorofi au alisubiri mwenzake atoe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
On behalf of myself and people of repuplic i deeply express....very sory for all the family members for such a great sorrow that cn take tym 2recover.
Rest in peace our heroes

mmmh,huu uchochezi sasaa,umemquote...
 
manchester city kiboko
wenger bahili kama kawaida yake
Wenger angekuwa huku bongo angekuwa wa lile kabila ambalo wanaishi safu za milima iliyoko upande wa kushoto kama unaelekea Dar kutoka njiapanda ya Himo.
Naogopa kuwataja kama ambavyo huko vijijini hawataji chumvi ikishafika jioni kwani mke wangu ni wa huko, ataniacha [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mkuu angerekebisha kidogo hapo,ungeanza na walio-donate pesa nyingi.

PlayerZ:

  1. Messi £10M
  2. Cr7 £3M

Clubs

  1. El Barca £160M
  2. City £89M
  3. Chelsea £80M
  4. Arsenal £4M
manchester UnitedOfficial have informed FIFA that they will donate €89M to Chapecoense

@FC Manchester cityofficial have informed FIFA that they will donate €390M to Chapecoense

Arsenal fc has informed FIFA and the Brazil Football Association that they will donate £67million to Chapecoense and the families of the victims
 
Aya za shetani.
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
 
Kwani serikali ilikusanya na huko? Maana mla rambirambi ni hao tuu kulingana na rekodi za nchi. Hata hivyo Mawazo walikuwa hawataki hata azikwe sijui walitaka awekwe Makumbusho wawafundishie makada wao kuwa jamaa alitusumbua sana kama wajerumani walivyotaka fuvu la Mkwawa?
Mbona mahaba yenu ya siasa mnaleta kwenye michezo lazima kuwe na kitu ambacho tutakua pamojawatu wa itikadi zote za kisiasa
Kwa njia hiio tunajenga uadui usio na maana na tutafika mahali tusizikane na hiio si mila zetu hivyo hapa tujadili michezo siasa iende kwenye eneo la. Siasa
 
Back
Top Bottom