bahili mpaka kwenye majanga. teh tehmanchester city kiboko
wenger bahili kama kawaida yake
Ndio umeandika nini hapa?Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun
Hiyo sio fedha ya usajili, Wenger hausiki hapo.manchester city kiboko
wenger bahili kama kawaida yake
Natoa pole kwao na wapenzi wote wa mpira, hii timu inahistoria gani mkuu?On behalf of myself and ghetto people natoa pole nyingi kwao, ukisoma historia ya hii club inasikitisha sana.
Andunje kodi tu imemshinda, sembuse misaadammkumbushe na Messi jamani aikwepe kuwasaidia kama anavyokwepa kodi.
Wenger is Arsenal ManagerHiyo sio fedha ya usajili, Wenger hausiki hapo.
manchester city kiboko
wenger bahili kama kawaida yake
Ndio umeandika nini hapa?
fikra sahihi huja kwa lugha sahihi - by nyerere
Inasikitisha yaaniIngekuwa Tanzania ungeckia hiyo pesa imepangiwa kazi nyingine kwani sio serikali iliyosababisha wapate hiyo ajari!
wapi kaandiak Afrika mkuu?mkuu rekebisha hapo ni fainali ya kwanza klabu bingwa amerika ya kusini na sio afrika kama ulivyoandika wewe.
Unaijuwa Euro million 3 au unatomboka tu?Ronaldo ana moyo wa kusaidia sana ..tena hio kwake ni kama buku tu alikua na uwezo wa kutoa zaidi
NDO MAANA WENZETU WANAZIDI KUBARIKIWA........Halaf wenzetu bwana hawana longolongo na tamaa za kijinga kama kwetu afrika..hela ikitolewa zinaenda direct kwa wahusika kama ni familia zinaenda huko familia zote za wachezaji waliopoteza maisha zinakusanywa data zao za kibenki kwaio misaada ikija tu na information zinarushwa kwao ...kama ni timu basi zinaenda kwenye akaunt ya timu, ila ingekua huku kwetu zile 80 percent zinapigwa na wadau
Chuki ??Wenger anahusikaje na pesa za majanga duh?alafu mbona haujasema Pep kiboko ila umeitaja Man City kheeee kheeee chuki mwanzo mwisho bro' [emoji23][emoji23]
Halaf wenzetu bwana hawana longolongo na tamaa za kijinga kama kwetu afrika..hela ikitolewa zinaenda direct kwa wahusika kama ni familia zinaenda huko familia zote za wachezaji waliopoteza maisha zinakusanywa data zao za kibenki kwaio misaada ikija tu na information zinarushwa kwao ...kama ni timu basi zinaenda kwenye akaunt ya timu, ila ingekua huku kwetu zile 80 percent zinapigwa na wadau