Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

Porojo watu wanazidi kuingia kwa makundi.


Kila siku naweza kukuletea wapya hapa bongo tu wapo kibao ..


Porojo kibao naona umeumia tambua upo njia ya freemason jisalimishe na uingie kweny uislamu.

MIMI NIMENUKUU QURAN UNASEMA POROJO.

KWAHIYO QURAN IMEJAA POROJO??????

KITABU CHA MAJINI KIMEJAA POROJO
 
Amemtaja Zakir Tena! Watu wasiomjua wameanza kumtafuta na kumjua ni nani zakri? Ajabu wamemkuta ni mtu mzuri, mwema na muongeaji mzuri kabisa.. muhubiri wa dini ya kiislamu mwenye kujuza uislam juu ya wale wasioujua..

Hapa umempiga chura teke kiongozi
 
MIMI NIMENUKUU QURAN UNASEMA POROJO.

KWAHIYO QURAN IMEJAA POROJO??????

KITABU CHA MAJINI KIMEJAA POROJO
Nilikuambia unukuu😂😂mbonq limekugusa mpaka una jibu bila ya kuambiwa ,imeingia mara kibao ushanikimbia kibonde wangu.
 
SHETANI ALISLIMU NDANI YA MSIKITI

Quran 51:56

Allah anasema

Nami sikuwaumba Majini na WATU Ili waniabudu Mimi.

Quran 72:2.

Sema.
Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi Moja la majinililisililiza na likazema
Hakika sisi tumeisikia Quran ya Ajabu
Ulikosa kwenye program ya BBT kiongozi ile ndo ingekufaa haya mengine huyaweza.. kichwa chako kidogo
 
Siasa za dini yenu nazifaahu sana tena kiundani kimataifa na kitaifa hivyo namaanisha na nakijua nilichoandika
 
SHETANI ALISLIMU NDANI YA MSIKITI

Quran 51:56

Allah anasema

Nami sikuwaumba Majini na WATU Ili waniabudu Mimi.

Quran 72:2.

Sema.
Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi Moja la majinililisililiza na likazema
Hakika sisi tumeisikia Quran ya Ajabu.

Asa una amini kua umeumbwa na mungu na dunia ni ya mungu na vilivomo
Na hao majini unazani yamejiumba au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…