Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

Porojo watu wanazidi kuingia kwa makundi.

Kila siku naweza kukuletea wapya hapa bongo tu wapo kibao ..

Porojo kibao naona umeumia tambua upo njia ya freemason jisalimishe na uingie kweny uislamu.

MIMI NIMENUKUU QURAN UNASEMA POROJO.

KWAHIYO QURAN IMEJAA POROJO??????

KITABU CHA MAJINI KIMEJAA POROJO
 
Ingekuwa kajiunga na dini Fulani yenye asili ya uarabuni ambayo bado Ipo kwenye marketing, inashawashi watu maarufu kwa hela nyingi kujiunganayo, inaandaa kombe la dunia na baadaye kukitumia kama sehemu ya propaganda za kueneza dini Yao kwa kuwaita wahubiri uchwara akina Zakir, ambayo inatumia mprira wa miguu kueneza propaganda za dini kwa kununua timu kubwa za ulaya na Sasa wananunua wachezaji maarufu duniani kwa hela nyingi na kuwapeleka ligi za kwao kwa lengo hilo hilo la ku market dini na Mila zao, basi ingikuwa wao Kelele zingepigwa Kila sehemu duniani
Amemtaja Zakir Tena! Watu wasiomjua wameanza kumtafuta na kumjua ni nani zakri? Ajabu wamemkuta ni mtu mzuri, mwema na muongeaji mzuri kabisa.. muhubiri wa dini ya kiislamu mwenye kujuza uislam juu ya wale wasioujua..

Hapa umempiga chura teke kiongozi
 
SHETANI ALISLIMU NDANI YA MSIKITI

Quran 51:56

Allah anasema

Nami sikuwaumba Majini na WATU Ili waniabudu Mimi.

Quran 72:2.

Sema.
Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi Moja la majinililisililiza na likazema
Hakika sisi tumeisikia Quran ya Ajabu
Ulikosa kwenye program ya BBT kiongozi ile ndo ingekufaa haya mengine huyaweza.. kichwa chako kidogo
 
Amemtaja Zakir Tena! Watu wasiomjua wameanza kumtafuta na kumjua ni nani zakri? Ajabu wamemkuta ni mtu mzuri, mwema na muongeaji mzuri kabisa.. muhubiri wa dini ya kiislamu mwenye kujuza uislam juu ya wale wasioujua..

Hapa umempiga chura teke kiongozi
Siasa za dini yenu nazifaahu sana tena kiundani kimataifa na kitaifa hivyo namaanisha na nakijua nilichoandika
 
SHETANI ALISLIMU NDANI YA MSIKITI

Quran 51:56

Allah anasema

Nami sikuwaumba Majini na WATU Ili waniabudu Mimi.

Quran 72:2.

Sema.
Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi Moja la majinililisililiza na likazema
Hakika sisi tumeisikia Quran ya Ajabu.

Asa una amini kua umeumbwa na mungu na dunia ni ya mungu na vilivomo
Na hao majini unazani yamejiumba au?
 
Back
Top Bottom