Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

Usijali...huo ni mwili tuu...na mwili hauna manufaa yoyote mbinguni..

Ile roho ndio dhahabu ya mbinguni...au ww unahisi viwete wataenda mbinguni wakiwa viwete...acha hizo mkuu...

Maji mengi au kidogo haijalishi, mbinguni kwa Baba yake kuna makao mengi...ukiweza kufafanua hapo basi swala la yeye kunawa kichwa litafutika akilin mwako
Unapotosha; heshimu maandiko.
 
Hakuna ubatizo hapo acha kutudanganya
Ubatizo wa biblia ni ubatizo wa maji mengi siyo wa jagi na beseni
" Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto."
Mathayo 3:11

Hii sio Biblia?
 
Jambo kubwa hapa ni kila mmoja abaki na imani yake. Ronaldo amechagua imani ya Kanisa Katoliki (ubatizo mmoja), kama unaweza kumfikia basi mueleze hayo unayoamini
Basi ingeandikwa Ronaldo abatizwa ubatizo wa katoliki na kuwa mkatoliki maana title ndiyo imenifanya niseme huo siyo ubatizo wa biblia maana imeandikwa amebatizwa na kuwa mkristo hakuna mkristo anayebatizwa ubatizo huo
 
Back
Top Bottom