Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
no hawezi kuwa dini ya makanjanja..yaani ronaldo.awe dini moja na shehe kipOzeo au mwijakuKumbe alikuwa muislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no hawezi kuwa dini ya makanjanja..yaani ronaldo.awe dini moja na shehe kipOzeo au mwijakuKumbe alikuwa muislamu
AiseeMshambuliaji mashuhuri duniani Ronaldo de Lima amebatizwa katika Kanisa la Sao Jose do Jardim Europa Parish huko Sao Paulo.
Ronaldo de Lima ame post picha kwenye Instagram page yake na kusema "Imani ya Kikristo imekuwa msingi muhimu wa maisha yangu toka utoto ingawa nilikuwa sijabatizwa. Kwa sakramenti hii najisikia kuzaliwa upya kama mtoto wa Mungu kwa namna mpya, kihisia na kwa undani kabisa."
Hongera kwake kuamua kujikabidhi kwa Kristo.
Nini maana ya Ubatizo au Babtism?Usijali...huo ni mwili tuu...na mwili hauna manufaa yoyote mbinguni..
Ile roho ndio dhahabu ya mbinguni...au ww unahisi viwete wataenda mbinguni wakiwa viwete...acha hizo mkuu...
Maji mengi au kidogo haijalishi, mbinguni kwa Baba yake kuna makao mengi...ukiweza kufafanua hapo basi swala la yeye kunawa kichwa litafutika akilin mwako
Kweli kabisa mtumishiHakuna ubatizo hapo acha kutudanganya
Ubatizo wa biblia ni ubatizo wa maji mengi siyo wa jagi na beseni
Ukisema neno sakramenti huyo unayemjibu hawezi kukuelewa😆Ubatizo ni sakramenti inayoleta wokovu, ndio sakramenti ya kwanza ili uwe Mkristo na kupokea mastahili ya Wokovu.
fuateni biblia katika ukamilifu wake, msichepushe uhalisia wakekidogo kulinganisha na nini? Maji ni ishara, ubatizo upo rohoni (kwa moto na Roho Mtakatifu). Sisi mafundisho yetu yanaangalia context ya maandiko, sio word to word, ni vizuri ukajua maudhui. Hiyo ni hasara ya kila mtu kujiona anajua maandiko badala ya kwenda shule.
Sisi hata ikitokea mtu asiyewahi kubatizwa akatamka kuwa anaomba afanyiwe ubatizo, na bahati mbaya katika maandalizi ya ubatizo ikatokea amefariki, basi huyo anachukuliwa amepata ubatizo (kwa nia yake). Hapo hata maji ya mto au bakuli hayajatumika, ila anazikwa kama Mkatoliki aliyebatizwa
Umekalili vibaya mnoofuateni ubatizo wa maji mengi, mtu azamishwe kama Yesu alivyobatizwa katika mto yordani. Enyi wakatoliki na walutheri ni nani aliyewaloga mbatize kwa maji kidogo?
Kwani ubatizo wa Roho Mtakatifu na Moto alioutaja Yohana Mbatizaji, akasema huo ndio tutakaobatizwa na Kristo, haupo kwenye Biblia 'katika ukamilifu wake' unaousema? Yeye mwenyewe Yohana aliyebatiza kwa maji ya kwenye mto anakwambia waziwazi kuwa Yesu Kristo atawabatiza vingine, naye humuamini?fuateni biblia katika ukamilifu wake, msichepushe uhalisia wake
Mbona kuna makundi mengi tu ya watu wanaingi kwenye Ukristo kutoka huo uislam.Hakuna jambo la ajabu hapo.Porojo watu wanazidi kuingia kwa makundi.
Kila siku naweza kukuletea wapya hapa bongo tu wapo kibao ..
Porojo kibao naona umeumia tambua upo njia ya freemason jisalimishe na uingie kweny uislamu.
Ni kawaida tu kama walivyokuwa kina Shekhe Aboud RogoAmemtaja Zakir Tena! Watu wasiomjua wameanza kumtafuta na kumjua ni nani zakri? Ajabu wamemkuta ni mtu mzuri, mwema na muongeaji mzuri kabisa.. muhubiri wa dini ya kiislamu mwenye kujuza uislam juu ya wale wasioujua..
Hapa umempiga chura teke kiongozi
Mbona huwa hamsulubiwi nae pia pale msalabani kama ndivyo hivyo ili tuone kweli mnafatisha kila kitu neno kwa neno? Au kwenye kusulubiwa ni pagumu mnaamua kuchagua tu kufuatisha kuzikwa/kuzamisha kwakuwa ni rahisi.Mkazikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo, ubatizo ni kuzika, au kuzamisha,kutosa kwa hiyo unaweza kujua ni maji kiasi gani yanahitajika,
Kuzama mto YordaniNini maana ya Ubatizo au Babtism?
Na penye kusulubiwa pamoja nae Yesu Kristo pale msalabani je,unaweza kunipa ufafanuzi huwa mnafuatishaje?Mhimu ktk ubatizo ni maji klmengi, yanayoweza kuzamisha.
Sijasema kuna ajabu ...Mbona kuna makundi mengi tu ya watu wanaingi kwenye Ukristo kutoka huo uislam.Hakuna jambo la ajabu hapo.
Dini na maandiko vililetwa na wazungu, na ndio wanafanya hivo, eti mtu mweusi anajidai kujua kuliko aliyeanzisha hayoUbatizo gani huo? Alitakiwa abatizwe ubatizo wa maji mengi
Before mzungu ni wapi mwafrika alikuwa na biblia yake na kusema kuna ubatizo wa maji mengi??Kubatizwa ni kuzamishwa ndani ya maji yawe ya mto mfereji chemichemi au kisima.
Tofauti na hapo haya mengine ni mafundisho ya wanadamu na tamaduni za wazungu na kwa bahati mbaya ukirsto umeathiriwa sana na tamaduni za waUzungu.
Kuna nchi ambazo hazina hata mto. Lakini pia kuna maeneo ndani ya nchi ambayo mto upo umbali wa kutosha kutokea maeneo mengine. Hawa wanazamishwa wapi? Wafunge safari?Kubatizwa ni kuzamishwa ndani ya maji yawe ya mto mfereji chemichemi au kisima.
Tofauti na hapo haya mengine ni mafundisho ya wanadamu na tamaduni za wazungu
Hakuna maji mengi kiasi chochote yanayoweza kusafisha roho! Naunga mkono, wingi au uchache wa maji siyo issue!Wewe unataka battle za dini, kwenye ubatizo maji ni ishara tu na sio yanayotakasa. Hakuna andiko lolote linaloelekeza ubatizo uwe wa maji kiasi gani zaidi wengi mnakimbilia ku refer Yesu kubatizwa mtoni na maana ya ubatizo yaani kuzamishwa!
Kiasi cha maji hakijawahi kuwa issue toka enzi za mitume. Mkitoka kusema lazima yawe maji mengi itabidi tuulizane kiasi gani? Kwa maelekezo ya mapokeo au maandiko gani? Mkitoka hapo wengine watasema Yesu alibatizwa mtoni hivyo lazima ukabatizwe kwenye mto tu! Wengine watasema lazima uende mto jordan penyewe! n.k
Christianity sio imani ya juzi, tumepokezana miaka 2000 sasa kuanzia utaratibu wa ibada hadi masakramenti, you can't teach the church my friend! Hili sio Kanisa liloanzishwa na mtu tu.