Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

Ndio mjifunze dini ni uongo fulani kumbe mwamba hakua kwenye misingi ya dini na alipata mafanikio vizuri tu sasa kutana na akina apostole mwafulani utaskia njoo kwa bwana anaokoa anakuinua uwe juu. Maviiiiiii
 
Kuna nchi ambazo hazina hata mto. Lakini pia kuna maeneo ndani ya nchi ambayo mto upo umbali wa kutosha kutokea maeneo mengine. Hawa wanazamishwa wapi? Wafunge safari?
Kama hakuna mto ata kisima tu kinatosha kumzamisha mtu.
 
Lini kakutana na papa kwa hiyo kucheza Italy ndio kukutabmna na papa.Acha unafiki
Acha ujiinga, pumbavu, nimelala na mama ako km hujui ,soma historia pumbavu mkubwa, baba zako tukiongea kaa kimya ,kima wewe
 

Attachments

  • 1998-0511-pope-john-paul-ii-ronaldo-mother-sonia-nazario-de-limajpg.jpg
    1998-0511-pope-john-paul-ii-ronaldo-mother-sonia-nazario-de-limajpg.jpg
    103.3 KB · Views: 1
Amejiunga DINI ya MAJINI.

DINI isiyojua vilipo VITABU vya Mungu.
Torati, zaburi, na INJILI.
Ukiwauliza WAISLAMU vipo wapi HAWAJUI.


ACHA SHETANI aendelee kujaza kundi lake la WAJINGA na WAPUMBAFU.


JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.


HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????
Ellen White aliandika kitabu cha maono yake. Baadhi ya maono yake inawakilisha makufuru kwa kupotosha na kuchanganya kabisa maono na mifano ya Biblia (Early Writings p 54,55). Hiki kitabu kilikuwa ni kazi ya udanganyifu. Anadai kwamba alipata maono ya mbinguni na aliongea na malaika na Kristo. Haya maono na ufunuo ilibidi kuhalalisha mafundisho yao ya uongo kuhusu Yesu kuinga katika patakatifu pa patakatifu Oktoba 1844. Hii ilibidi itokee Oktoba 22, 1844! Anadai alipata maono mengi kama haya, ambayo kiukweli sio ongezeko la maandiko tu ila pia ni kuharibu thamani ya maandiko. Waadventista wanadai kuwa mafunuo haya ya Ellen White ni ‘yenye mamlaka’ kwa Waadventista Wasabato. Tunajua kuwa kitabu cha Ufunuo kinaongelea kuhusu watu watakaokiongezea! (Ufunuo 22:18). Waadventista wanaweza wakasema kuwa Ellen White haongezei kwenye kitabu cha Ufunuo, lakini kwa sababu ya mambo mengi mapya na yenye kupotosha kwenye ‘maono yake’, na kwa sababu wafuasi wake wana amini kazi zake ni zenye ‘mamlaka’, hiki ndicho anachofanya. Kuhusu kazi zake Ellen White anasema, “Shuhuda hizi ni za Roho wa Mungu au shetani” (Testimonies for the Church, Vol. 4, p.230). Ni dhahiri kuwa shuhuda zake sio za Roho wa Mungu.
 
MIMI NIMENUKUU QURAN UNASEMA POROJO.

KWAHIYO QURAN IMEJAA POROJO??????

KITABU CHA MAJINI KIMEJAA POROJO
Tupe na historia ya dini yako ilivyoanzishwa na yule malaya wenu Hellen white
 
Brazil Wengi Ni Wagalatia Huko Ama Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
utarukaje hatua hiyo? Aaminiye na kubatizwa ataokoka. Huo ubatizo wa roho mtakatifu hufuata baada ya ubatizo wa maji
Hakuna hatua uliyoruka! Ubatizo wa Roho Mtakatifu unaenda sambamba na ubatizo wa maji na ndiyo ubatizo muhimu!

Kama ukibatizwa kwa maji bila Roho Mtakatifu hakuna ubatizo hapo tunasema ume nawa au kuoga tu!

Soma Matendo 19:1-7
Paulo katika Efeso
1 Ikawa, Apolo alipokuwa Korintho, Paulo, akiisha kupita kati ya nchi za juu, akafika Efeso; akakutana na wanafunzi kadha wa kadha huko;. 2 akawauliza, Je! Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hata kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia. 3 Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana. 4 Paulo akasema, Yohana alibatiza kwa ubatizo wa toba, akiwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja nyuma yake, yaani, Yesu. 5 Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu. 6 Na Paulo, alipokwisha kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao; wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri. 7 Na jumla yao walipata wanaume kumi na wawili.
 
Back
Top Bottom