msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Neymar alimkimbia Messi kwani alijua fika hawezi tamba mbele ya Leo Messi na pia kuondoka kwa Dinho si kipimo tosha kuwa FC Barca haiwapendi wachezaji wa kibrazil.. Itoshe kusema tu Barcelona inachukiwa kutokana na mafanikio yake na wale wafuasi Mamluki waliotoka MUFC na kumfuata CR7 ikiwemo mtoa kioja....
Huu ni ujinga wa kiwango cha PhD, tutakufa mm na wewe lkn Barcelona tutaiacha pale palenawashangaa sana waafrika wanaowashabikia hawa wabaguzi Baecelona.......Barcelona wanawabagua sana wachezaji wenye asili ya Afrika....hii timu siipendi bora ife tu
We kama hujui vitu ni vizuri ukailiza hivi unajua ronaldo amechukua uchezaji wa dunia Mara Tatu na Mara mbili amechukulia akiwa na Barcelona? Ronaldo alikuwa chipukizi akiwa na psvHa h ha unategemea nini wakati yeye ni Madrid DNA kipindi alichocheza Barca alikua underground kama Paco Alcacer
Ronaldo amechezea barcelona one season how much tumuite legend na hizo mara mbili kiaje tenaWe kama hujui vitu ni vizuri ukailiza hivi unajua ronaldo amechukua uchezaji wa dunia Mara Tatu na Mara mbili amechukulia akiwa na Barcelona? Ronaldo alikuwa chipukizi akiwa na psv
Labda ww ndo umemjulia Madrid nimeanza kumkalili ronaldo tangu 98 hata la kwanza sijaanza;Ronaldo amechezea barcelona one season how much tumuite legend na hizo mara mbili kiaje tena
Ronaldo El Phenomenon wengi tumemjualia Madrid
Binafsi nimemjulia Madrid kwenye the golden teamLabda ww ndo umemjulia Madrid nimeanza kumkalili ronaldo tangu 98 hata la kwanza sijaanza;
Nakuomba,upitie link zifuatazo tafadhari halafu tuendelee
1996 FIFA World Player of the Year - Wikipedia
1997 FIFA World Player of the Year - Wikipedia
Duuuh basi we hata zile jojo zenye stika za wachezaji hukuwahi kuzitumia na Nina uhakika world cup ya 2002 hukuangariaBinafsi nimemjulia Madrid kwenye the golden team
Portugal ya 2000 Euro na world cup 1998 hadi Nasario analia taswira inanijia sanaDuuuh basi we hata zile jojo zenye stika za wachezaji hukuwahi kuzitumia na Nina uhakika world cup ya 2002 hukuangaria
Duuuh basi we hata zile jojo zenye stika za wachezaji hukuwahi kuzitumia na Nina uhakika world cup ya 2002 hukuangaria
Duuh inasikitisha sana,De Lima ? unamfananisha na hawa mastraika wa sasa??Naweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....
Huyo jamaa ni mu-argentina anayepatikana JF hakuna zuri kwake kuhusu Brazil kwa hiyo usimchukulie serious fuatilia post sake utaonaDuuh inasikitisha sana,De Lima ? unamfananisha na hawa mastraika wa sasa??
Naweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....
My kaka...acha na De Lima... Mpira wake wala Messi au CR7 hawajaufikia.. Mjadili tu kauli zake, ila si mpira wake asee !!!Naweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....
Nadhani Ronaldo kipindi akiwa kwenye peak ulikua haujazaliwa sio?Utakua unaangaliaga highlights zake tu supersport na youtube nadhani.Naweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....