msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Neymar alimkimbia Messi kwani alijua fika hawezi tamba mbele ya Leo Messi na pia kuondoka kwa Dinho si kipimo tosha kuwa FC Barca haiwapendi wachezaji wa kibrazil.. Itoshe kusema tu Barcelona inachukiwa kutokana na mafanikio yake na wale wafuasi Mamluki waliotoka MUFC na kumfuata CR7 ikiwemo mtoa kioja....
ina maana hata delima anaichukia kwa sababu ya mafanikio au maana unaropoka kama unamimba ya MAN U vile