Ronaldo de Lima: Barcelona hawana Upendo na Wachezaji wa Kibrazil

Neymar alimkimbia Messi kwani alijua fika hawezi tamba mbele ya Leo Messi na pia kuondoka kwa Dinho si kipimo tosha kuwa FC Barca haiwapendi wachezaji wa kibrazil.. Itoshe kusema tu Barcelona inachukiwa kutokana na mafanikio yake na wale wafuasi Mamluki waliotoka MUFC na kumfuata CR7 ikiwemo mtoa kioja....

ina maana hata delima anaichukia kwa sababu ya mafanikio au maana unaropoka kama unamimba ya MAN U vile
 
nawashangaa sana waafrika wanaowashabikia hawa wabaguzi Baecelona.......Barcelona wanawabagua sana wachezaji wenye asili ya Afrika....hii timu siipendi bora ife tu
Huu ni ujinga wa kiwango cha PhD, tutakufa mm na wewe lkn Barcelona tutaiacha pale pale
 
msukuma fekero siku ukiacha kusumwa huko nyuma na Barcelona ndo utaacha kiherehere cha kudandia chuki....

Ni ukweli usiopingika mashabiki wa Uchwara wa MUTD na CR7 ndio wanao ongoza kuisema Barcelona ukiwemo wewe wakusukumwa nyuma..
 
Mpira siku zote unakanuni zake mazoezi ya kutosha,kujitunza kinyume ns hapo mpira utakushinda.

Coutihno naye akienda kushangaa taa za mji wa Catalunya na kila weekend akitaka kwenda kuogelea beach za Copa cabana itabaki historia tu

Amuulize Alex Song nn kilimkuta.
 
Ivi wakati anachezea barca ulikua unajitambua kweli? Mtu aliwai kufunga goli 50 kwa msimu, baadhi ya magoli anapiga chenga kuanzia katikati ya uwanja mbaka anafunga akiwa na jezi ya barca unamfanisha na vitu vya kipuuzi.
 
Ha h ha unategemea nini wakati yeye ni Madrid DNA kipindi alichocheza Barca alikua underground kama Paco Alcacer
We kama hujui vitu ni vizuri ukailiza hivi unajua ronaldo amechukua uchezaji wa dunia Mara Tatu na Mara mbili amechukulia akiwa na Barcelona? Ronaldo alikuwa chipukizi akiwa na psv
 
Ronaldo amechezea barcelona one season how much tumuite legend na hizo mara mbili kiaje tena
Ronaldo El Phenomenon wengi tumemjualia Madrid
 
Tabia ya R7 haina tofauti na wale wachezaji wetu wa Kibongo, hasa kutoka vilabu viwili kongwe Simba na Yanga.

Kwao huwa ni Soka na Majungu..!
 
919af49b44ac76c6fb3806ebf4799a85.jpg
 
Duuuh basi we hata zile jojo zenye stika za wachezaji hukuwahi kuzitumia na Nina uhakika world cup ya 2002 hukuangaria

Naweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....
 
Duuh inasikitisha sana,De Lima ? unamfananisha na hawa mastraika wa sasa??
 
Huyo jamaa ni mu-argentina anayepatikana JF hakuna zuri kwake kuhusu Brazil kwa hiyo usimchukulie serious fuatilia post sake utaona
Naweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....
 
Naweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....
My kaka...acha na De Lima... Mpira wake wala Messi au CR7 hawajaufikia.. Mjadili tu kauli zake, ila si mpira wake asee !!!
 
Naweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....
Nadhani Ronaldo kipindi akiwa kwenye peak ulikua haujazaliwa sio?Utakua unaangaliaga highlights zake tu supersport na youtube nadhani.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
HATA DANI ALVES ALIWAHI TOA NENO KUHUSU BARCA!lisemwalo lipo....
 
Back
Top Bottom