Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

hamna lolote kizazi Cha R9. Kizazi kilichokuwa Na challenge kubwa Ni 1992 -1996 hata ukifuatilia UEFA championship league kufunga goli hata moja enzi hizo ilikuwa ngumu. AC Milan Na Ajax Amsterdam, Barcelona Na marceile ya ufaransa.

AC Milan
1. Dejan Cecicevic mserbia
2 . Paulo maldin
3. Franco Baresi
4. Rais George Weah
5. Albertini
6. Boban, ambaye haruna Moshi kaiga Hilo jina kutoka kwake alikuwa mcroatia

Juventus
1. Ravaneli fabrazio
2. Roberto Baggio
3. Gianluca Viali

Beryan Munich
Lother Matthias
2. Oliver bierhoff
3. Jurgen klinsman
4. Rudi voller

Borrusia Dortmund

Chapuisat
Mathias summer
Victor ikpeba mnigria

Marseille
1. Abedi pele

Real Madrid
Ivan Zamorano mchile huyu

Barcelona
Romario
Ronald koeman
Hristo stoichkov

Sasa wanaume Yani enz hizo tishio Na Ni nyakati hizo R de lima alikuwa kinda uholanzi psv pamoja Na gaucho. AJAX AMSTERDAM Dah Ajax ilikuwa tishio chini ya kocha Luis Vaan Gal

Naanza Na waafrika watatu kutoka Nigeria waliipaisha Ajax

Sunday Oliseh
Finidi George
Nwanko Kanu

Wengine

.Frank rijkaard
.Frank de Boer
.Ronald de boer
Patrick cluivert alikuwa 19 yes alipofunga goli la pekee UEFA chmp league 1994 dhidi ya Ac M
ilan
. Clarence seedorf
.edagR davis
. Reinziger
Jari litmanen
. Edwin van der saar

Jezi Yao ilidhaminiwa Na ABN amro bank
View attachment 668693

Hiki ndio kizazi Cha mpira wenye changamoto
Maalabuku!!
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
Messi na Chrstiano Ronaldo kwa Ronaldnho Gaucho ni watoto hamna kitu...na kwa Real Ronaldo el The Phenomena (In Mournho voice) ndio usiseme bado wapo mbali sana...Ronaldo De Nazario Lima tena yule wa enzi akiwa Barcelona na Internationalle Milan angekuwepo kizazi hiki angejbnafsia Ballon Dor.. .usifanye judgement kwa magoli ni sawa na kusema Valencia kamfunga Malaga 7 na kulinganisha na Bayern Munich kumfunga Real Madrid 2 apo ukiangalia magoli utaona Valencia ni bora kumbe ni zero...jiulize enzi hzo ngome za mabeki zilkuaje...unajua hzo ndio zlkua enz za viski kina ...Nesta....Puyol...Viera...Tonny Adams...Cafu...Dunga...Kufor...Makipa wenye mikono 7 kama oliver khan...Toldo...Dida n.k...enz za viungo matata kina Edaga Davis..Seedoff...Okocha..etc si sasa kina valencia...anderson ..etc washambuliaji matata Kna Kiluvert..Kanu...Trezeguit...Thiery Henry...Romario.....Salas...Ivan Zamorano...Andon Zubizareta...Batstuta...Samuel Ettoo Falls...Diouf...Rivaldo..Zidane...Del Piero ..Robertt Bagio n co?..leo wapo kna Rashford..n co watoto mayai alafu et unawaza kumfananisha Ronaldo El Phenomena na kijana aliyejifunza soka kwake Ronaldnho na hawa watoto wakati kina Neymar walkua na kipaji kwa kumuangalia na adi leo wakrud nyumban na Kina Jesus ...Coutnho n co lazma wamtembelee na kzazi cha watoto mayai Rashford?I won.. Sterling..Benzema..alafu useme messi na Ronaldo n co?think twice lakin kama umezaliwa 1990's ni haki yako ujawahi kuona mpira
 
Messi na Chrstiano Ronaldo kwa Ronaldnho Gaucho ni watoto hamna kitu...usifanye judgement kwa magoli ni sawa na kusema Valencia kamfunga Malaga 7 na kulinganisha na Bayern Munich kumfunga Real Madrid 2 apo ukiangalia magoli utaona Valencia ni bora kumbe ni zero...jiulize enzi hzo ngome za mabeki zilkuaje...unajua hzo ndio zlkua enz za viski kina kina...Nesta....Puyol...Viera...Tonny Adams...Nesta...Cafu...Dunga...Kufor...Makipa wenye mikono 7 kama oliver khan...Toldo...Dida n.k...enz za washambuliaji matata Kna Kiluvert..Kanu...Trezeguit...Thiery Henry...Romario...Okocha....Salas...Ivan Zamorano...Andon Zubizareta...Batstuta...Samuel Ettoo Falls...Diouf...Rivaldo..Zidane...Del Piero n co...unaweza kufananisha na kzazi cha kna Rashford?I won.. Sterling..Benzema..messi..Ronaldo n co?think twice
kwanza yakupasa ufahamu kuwa messi uzao wake sio wahawa kina rashford nat real ..hawa kina rashford ni new generation kabisa iliyochipukia wakati ambao career yakina messi inaelekea ukingoni ..umetaja kina rashford lkini umesahau kuwa tendea haki watu kama kaka .neymar.messi .mbape .cavani .Suarez .Angel mwana wa maria. harry Kane .Gareth bale ..maselo ..xavi .puyol..mascherano. Rooney. Gerald ..hazard .reyard mahrez ..tusidanganyane mkuu hao kina marcelo salas na Ivan zamorano...batistuta..wote nimewaona walikuwa niweupe mnoo katka usawa wahiki kizazi cha sasa ..huamini nenda Google ..tena hata sanachez hawakuwa wakimfikia hata robo..wakati unamcompare messi na kina.r.Rinaldo delima..wenzako waliopo dunia ya kwanza wanamuweka messi katk level ya miungu miwili ya soccer ulimwengu ..Pele na maradona..halafu usiwe unabishana bila fact nenda Google katizame takwimu zilizopo baina ya hao wachezaji uliowataja na hwa niliowataja mimi uwone niwapi waliokuwa nibora zaidi...
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
Mimi binafsi ni shabiki wa Ufaransa wa kufa mtu hasa Zidane na sijawahi kuwapenda wachezaji wa Barcelona na waamerika lakini nakiri kuwa toka Dunia hii iumbwe hajawahi tokea mfalme wa soka zaidi ya Mesi.

Umemuelezea Mesi swadakta sina cha kukukosoa mkuu.
 
Bado hakuna mchezaji

mchezaji apo kna cavan wote na kna d maria ni wa kawaidia huwez kuwafananisha na ata kna marc overmas...slvan wiltord...cole n co
 
Sio kweli kipindi cha de lima uwezo wao ulikuwa unafanana ila Ronaldo na Messi ni ma Allien hawa jamaa hata wangekuwa kipind cha de lima basi wao ndo wangekuwa wanachuana
 
Bado hakuna mchezaji

mchezaji apo kna cavan wote na kna d maria ni wa kawaidia huwez kuwafananisha na ata kna marc overmas...slvan wiltord...cole n co
hiyo sasa ni chuki ..tena iliyotukuka yaani ukamafananishe overmass wiltod na angel de maria..hahaaaa hebu ONDOA ile kasumba yakuwa kila kitu chakale kilikuwa bora kuliko sasa ..maana hiyo kasumba ndio inayokuandama katka kichwa chako...hao wote uliowataja hapo hawajawahi kufunga hata goli 10 katk msimu mmoja achilia mbali uwezo wao wakutoa pasi za mwisho ulikuwa niuwezo dhaifu mnoooo...zaidi yakukimbia kimbia uwezo aliokuwa na overmass mwingine niupi ..sasa simara mia umtaje bekhamp..ijapo kuwa bado hakuwa na uwezo wakunyumbulika kama alionao de maria sasa au alionao Sanchez
 
Mimi binafsi ni shabiki wa Ufaransa wa kufa mtu hasa Zidane na sijawahi kuwapenda wachezaji wa Barcelona na waamerika lakini nakiri kuwa toka Dunia hii iumbwe hajawahi tokea mfalme wa soka zaidi ya Mesi.

Umemuelezea Mesi swadakta sina cha kukukosoa mkuu.
asante mkuu
 
Bado hakuna mchezaji

mchezaji apo kna cavan wote na kna d maria ni wa kawaidia huwez kuwafananisha na ata kna marc overmas...slvan wiltord...cole n co
aiseee kumbe tunafanana..mnooo nilikuwa nampnda zizou mnooo pia...but messi nimzimu wa mpira
 
hebu nitajie wachezaji wa upande wa kukaba wa sasa hivi na wa kipindi cha R9 tupo kipindi mtu kama ramos miaka na miaka anakuwa beki bora duniani.
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
Duuh kweli haujui soka dogo maana kama uwezo wa kupiga chenga kulikuwa na mabingwa wa kazi hiyo unakumbuka Jose Sapinto? Huyu alikuwa anamfanya beki mahiri Roberto Carlos asipande mbele na alikuwa anampita takavyo, kuna mtu alikuwa anaitwa Denilson unamkumbuka..... Mesi anapiga chenga wachezaji gani.. Ronaldo alikuwa akiwapiga vyenga mabeki viburi Mathias summer, Nesta, costacuta, Maldini, Canavaro Lillian, Thurman, Tony adams, Gary pallister, Stephen effern barg, bixente lizarazu... Mabeki wenye roho mbaya, mabeki wenye moyo wa chuma... Afu pia umesema Ronaldo amecheza na wachezaji wazuri hebu niambie tabu alipata Messi Barcelona... Alikuwa ana Xavi, Iniesta, Yaya toure, bosquet... Anashindwaje kufunga akiwa na master passer?... Twende Argentina ile wanaitwa golden generation....... Messi hajawahi kubeba Argentina zaidi ya safari hii... Sasa twende kwa Zidane alivyoibeaba ufaransa..... Zama za Kina Ronaldo walicheza timu zikiwa Imara kila idara na wachezaji mafundi walikuwa wengi mmno... Roberto baggio, romario, histro stoichkov, Ivan zamorano, Marcelo Salas, Pavel nedved, davor suker, Hakan sukur, del piero, toti, Andrea pirlo, Thierry Henry, rivaldo, Figo, rui Costa, fransceso coco, gaizka mendieta, Pablo aimar, Gabriel batistuta, Crespo, Denis bergkamp, Jan Koller, Mario basler, Mehmet scholl, jugern Klinsman, Ryan gigs, David ginola, Eric Cantona, Gianfranco Zola, Jay Jay okocha, Kaka,luis Enrique....... Kiujumla Messi ni mzuri hata Ronaldo Lakini hawajacheza kipindi ambacho kulikuwa na wachezaji Imara wakabaji hatari...
 
Messi na Chrstiano Ronaldo kwa Ronaldnho Gaucho ni watoto hamna kitu...na kwa Real Ronaldo el the Phenomena (In Mournho voice) ndio usiseme bado wapo mbali sana...Ronaldo De Nazario Lima tena yule wa enzi akiwa Barcelona na Internationalle Milan angekuwepo kizazi hiki angejbnafsia Ballon Dor.. .usifanye judgement kwa magoli ni sawa na kusema Valencia kamfunga Malaga 7 na kulinganisha na Bayern Munich kumfunga Real Madrid 2 apo ukiangalia magoli utaona Valencia ni bora kumbe ni zero...jiulize enzi hzo ngome za mabeki zilkuaje...unajua hzo ndio zlkua enz za viski kina kina...Nesta....Puyol...Viera...Tonny Adams...Nesta...Cafu...Dunga...Kufor...Makipa wenye mikono 7 kama oliver khan...Toldo...Dida n.k...enz za washambuliaji matata Kna Kiluvert..Kanu...Trezeguit...Thiery Henry...Romario...Okocha....Salas...Ivan Zamorano...Andon Zubizareta...Batstuta...Samuel Ettoo Falls...Diouf...Rivaldo..Zidane...Del Piero ..Robertt Bagio n co?...unaweza kufananisha na kzazi cha kna Rashford?I won.. Sterling..Benzema..messi..Ronaldo n co?think twice

Duh! Wewe jamaa acha kudanganya watu humu na kufanya hawaujui mpira,,, yani de lima amzidi Messi huyu Messi!!! Au unakusudia messi wa mchangani!!! Gaucho na Messi wapi na wapi!! De lima na Messi wapi na wapi Ni kama tembo na sisimizi,,,,, mtake radhi huyu kiumbe ambaye hana mpinzani adi leo hii.

Ili wawe bora zaidi ya King Messi,,, kwanza kabisa wavuke kwa Diego Maradona, Zidane,de stefano, puskas,cruiff na kwa Pele.....baada ya hapo kama watakuwa wamevuka, so walinganishwe na Professor mwenyewe/MESSI......

kwa taarifa yako,,, hivyo vichezaji vyako vingekuwepo kipindi hiki visingeambulia chochote huo ndio ukweli halisi....

Shikamoo mkuu.
 
Back
Top Bottom