Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

Maalabuku!!
 
Messi na Chrstiano Ronaldo kwa Ronaldnho Gaucho ni watoto hamna kitu...na kwa Real Ronaldo el The Phenomena (In Mournho voice) ndio usiseme bado wapo mbali sana...Ronaldo De Nazario Lima tena yule wa enzi akiwa Barcelona na Internationalle Milan angekuwepo kizazi hiki angejbnafsia Ballon Dor.. .usifanye judgement kwa magoli ni sawa na kusema Valencia kamfunga Malaga 7 na kulinganisha na Bayern Munich kumfunga Real Madrid 2 apo ukiangalia magoli utaona Valencia ni bora kumbe ni zero...jiulize enzi hzo ngome za mabeki zilkuaje...unajua hzo ndio zlkua enz za viski kina ...Nesta....Puyol...Viera...Tonny Adams...Cafu...Dunga...Kufor...Makipa wenye mikono 7 kama oliver khan...Toldo...Dida n.k...enz za viungo matata kina Edaga Davis..Seedoff...Okocha..etc si sasa kina valencia...anderson ..etc washambuliaji matata Kna Kiluvert..Kanu...Trezeguit...Thiery Henry...Romario.....Salas...Ivan Zamorano...Andon Zubizareta...Batstuta...Samuel Ettoo Falls...Diouf...Rivaldo..Zidane...Del Piero ..Robertt Bagio n co?..leo wapo kna Rashford..n co watoto mayai alafu et unawaza kumfananisha Ronaldo El Phenomena na kijana aliyejifunza soka kwake Ronaldnho na hawa watoto wakati kina Neymar walkua na kipaji kwa kumuangalia na adi leo wakrud nyumban na Kina Jesus ...Coutnho n co lazma wamtembelee na kzazi cha watoto mayai Rashford?I won.. Sterling..Benzema..alafu useme messi na Ronaldo n co?think twice lakin kama umezaliwa 1990's ni haki yako ujawahi kuona mpira
 
kwanza yakupasa ufahamu kuwa messi uzao wake sio wahawa kina rashford nat real ..hawa kina rashford ni new generation kabisa iliyochipukia wakati ambao career yakina messi inaelekea ukingoni ..umetaja kina rashford lkini umesahau kuwa tendea haki watu kama kaka .neymar.messi .mbape .cavani .Suarez .Angel mwana wa maria. harry Kane .Gareth bale ..maselo ..xavi .puyol..mascherano. Rooney. Gerald ..hazard .reyard mahrez ..tusidanganyane mkuu hao kina marcelo salas na Ivan zamorano...batistuta..wote nimewaona walikuwa niweupe mnoo katka usawa wahiki kizazi cha sasa ..huamini nenda Google ..tena hata sanachez hawakuwa wakimfikia hata robo..wakati unamcompare messi na kina.r.Rinaldo delima..wenzako waliopo dunia ya kwanza wanamuweka messi katk level ya miungu miwili ya soccer ulimwengu ..Pele na maradona..halafu usiwe unabishana bila fact nenda Google katizame takwimu zilizopo baina ya hao wachezaji uliowataja na hwa niliowataja mimi uwone niwapi waliokuwa nibora zaidi...
 
Mimi binafsi ni shabiki wa Ufaransa wa kufa mtu hasa Zidane na sijawahi kuwapenda wachezaji wa Barcelona na waamerika lakini nakiri kuwa toka Dunia hii iumbwe hajawahi tokea mfalme wa soka zaidi ya Mesi.

Umemuelezea Mesi swadakta sina cha kukukosoa mkuu.
 
Bado hakuna mchezaji
mchezaji apo kna cavan wote na kna d maria ni wa kawaidia huwez kuwafananisha na ata kna marc overmas...slvan wiltord...cole n co
 
Sio kweli kipindi cha de lima uwezo wao ulikuwa unafanana ila Ronaldo na Messi ni ma Allien hawa jamaa hata wangekuwa kipind cha de lima basi wao ndo wangekuwa wanachuana
 
Bado hakuna mchezaji

mchezaji apo kna cavan wote na kna d maria ni wa kawaidia huwez kuwafananisha na ata kna marc overmas...slvan wiltord...cole n co
hiyo sasa ni chuki ..tena iliyotukuka yaani ukamafananishe overmass wiltod na angel de maria..hahaaaa hebu ONDOA ile kasumba yakuwa kila kitu chakale kilikuwa bora kuliko sasa ..maana hiyo kasumba ndio inayokuandama katka kichwa chako...hao wote uliowataja hapo hawajawahi kufunga hata goli 10 katk msimu mmoja achilia mbali uwezo wao wakutoa pasi za mwisho ulikuwa niuwezo dhaifu mnoooo...zaidi yakukimbia kimbia uwezo aliokuwa na overmass mwingine niupi ..sasa simara mia umtaje bekhamp..ijapo kuwa bado hakuwa na uwezo wakunyumbulika kama alionao de maria sasa au alionao Sanchez
 
asante mkuu
 
Bado hakuna mchezaji

mchezaji apo kna cavan wote na kna d maria ni wa kawaidia huwez kuwafananisha na ata kna marc overmas...slvan wiltord...cole n co
aiseee kumbe tunafanana..mnooo nilikuwa nampnda zizou mnooo pia...but messi nimzimu wa mpira
 
aiseee kumbe tunafanana..mnooo nilikuwa nampnda zizou mnooo pia...but messi nimzimu wa mpira
hebu nitajie wachezaji wa upande wa kukaba wa sasa hivi na wa kipindi cha R9 tupo kipindi mtu kama ramos miaka na miaka anakuwa beki bora duniani.
 
Duuh kweli haujui soka dogo maana kama uwezo wa kupiga chenga kulikuwa na mabingwa wa kazi hiyo unakumbuka Jose Sapinto? Huyu alikuwa anamfanya beki mahiri Roberto Carlos asipande mbele na alikuwa anampita takavyo, kuna mtu alikuwa anaitwa Denilson unamkumbuka..... Mesi anapiga chenga wachezaji gani.. Ronaldo alikuwa akiwapiga vyenga mabeki viburi Mathias summer, Nesta, costacuta, Maldini, Canavaro Lillian, Thurman, Tony adams, Gary pallister, Stephen effern barg, bixente lizarazu... Mabeki wenye roho mbaya, mabeki wenye moyo wa chuma... Afu pia umesema Ronaldo amecheza na wachezaji wazuri hebu niambie tabu alipata Messi Barcelona... Alikuwa ana Xavi, Iniesta, Yaya toure, bosquet... Anashindwaje kufunga akiwa na master passer?... Twende Argentina ile wanaitwa golden generation....... Messi hajawahi kubeba Argentina zaidi ya safari hii... Sasa twende kwa Zidane alivyoibeaba ufaransa..... Zama za Kina Ronaldo walicheza timu zikiwa Imara kila idara na wachezaji mafundi walikuwa wengi mmno... Roberto baggio, romario, histro stoichkov, Ivan zamorano, Marcelo Salas, Pavel nedved, davor suker, Hakan sukur, del piero, toti, Andrea pirlo, Thierry Henry, rivaldo, Figo, rui Costa, fransceso coco, gaizka mendieta, Pablo aimar, Gabriel batistuta, Crespo, Denis bergkamp, Jan Koller, Mario basler, Mehmet scholl, jugern Klinsman, Ryan gigs, David ginola, Eric Cantona, Gianfranco Zola, Jay Jay okocha, Kaka,luis Enrique....... Kiujumla Messi ni mzuri hata Ronaldo Lakini hawajacheza kipindi ambacho kulikuwa na wachezaji Imara wakabaji hatari...
 

Duh! Wewe jamaa acha kudanganya watu humu na kufanya hawaujui mpira,,, yani de lima amzidi Messi huyu Messi!!! Au unakusudia messi wa mchangani!!! Gaucho na Messi wapi na wapi!! De lima na Messi wapi na wapi Ni kama tembo na sisimizi,,,,, mtake radhi huyu kiumbe ambaye hana mpinzani adi leo hii.

Ili wawe bora zaidi ya King Messi,,, kwanza kabisa wavuke kwa Diego Maradona, Zidane,de stefano, puskas,cruiff na kwa Pele.....baada ya hapo kama watakuwa wamevuka, so walinganishwe na Professor mwenyewe/MESSI......

kwa taarifa yako,,, hivyo vichezaji vyako vingekuwepo kipindi hiki visingeambulia chochote huo ndio ukweli halisi....

 
Shikamoo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…