Shikamoo mkuu.
Ni kweli mkuu mfano mzuri Christiano Ronaldo alipokuwa kwenye peak hazungushi kwa GatussoDuuh kweli haujui soka dogo maana kama uwezo wa kupiga chenga kulikuwa na mabingwa wa kazi hiyo unakumbuka Jose Sapinto? Huyu alikuwa anamfanya beki mahiri Roberto Carlos asipande mbele na alikuwa anampita takavyo, kuna mtu alikuwa anaitwa Denilson unamkumbuka..... Mesi anapiga chenga wachezaji gani.. Ronaldo alikuwa akiwapiga vyenga mabeki viburi Mathias summer, Nesta, costacuta, Maldini, Canavaro Lillian, Thurman, Tony adams, Gary pallister, Stephen effern barg, bixente lizarazu... Mabeki wenye roho mbaya, mabeki wenye moyo wa chuma... Afu pia umesema Ronaldo amecheza na wachezaji wazuri hebu niambie tabu alipata Messi Barcelona... Alikuwa ana Xavi, Iniesta, Yaya toure, bosquet... Anashindwaje kufunga akiwa na master passer?... Twende Argentina ile wanaitwa golden generation....... Messi hajawahi kubeba Argentina zaidi ya safari hii... Sasa twende kwa Zidane alivyoibeaba ufaransa..... Zama za Kina Ronaldo walicheza timu zikiwa Imara kila idara na wachezaji mafundi walikuwa wengi mmno... Roberto baggio, romario, histro stoichkov, Ivan zamorano, Marcelo Salas, Pavel nedved, davor suker, Hakan sukur, del piero, toti, Andrea pirlo, Thierry Henry, rivaldo, Figo, rui Costa, fransceso coco, gaizka mendieta, Pablo aimar, Gabriel batistuta, Crespo, Denis bergkamp, Jan Koller, Mario basler, Mehmet scholl, jugern Klinsman, Ryan gigs, David ginola, Eric Cantona, Gianfranco Zola, Jay Jay okocha, Kaka,luis Enrique....... Kiujumla Messi ni mzuri hata Ronaldo Lakini hawajacheza kipindi ambacho kulikuwa na wachezaji Imara wakabaji hatari...
Hujui mpira kabisa mkuu, nimesoma comment zako nimegundua umeanza kushabikia mpira miaka ya 2000, nakuambia hivi hao akina mbape sijui hazard na wengine ni mavi tu, mbape?? Kweli?? Amefanya nini kwenye soka.. siku hizi media zimekuza sana wachezaji, ni media tu ndo zimewafanya wawe wakubwa.. hakuna cha maana. Enzi za akina zidane, trazguet, delima, nedved, inzaghi, owen, ilikuwa balaa hakuna wa kufananisha.. na nakuambia hivi sijui kama kitatokea kizazi kama kile katika soka, enzi hizo mpira ulikuwa mtamu bhana.. wazee wa busara mguuni kama akina mzee seedorf, pirlo, del PL,alafu wew unataja mbape, eti ndo tuwafananishe na akiba gaucho.. acha bhanakwanza yakupasa ufahamu kuwa messi uzao wake sio wahawa kina rashford nat real ..hawa kina rashford ni new generation kabisa iliyochipukia wakati ambao career yakina messi inaelekea ukingoni ..umetaja kina rashford lkini umesahau kuwa tendea haki watu kama kaka .neymar.messi .mbape .cavani .Suarez .Angel mwana wa maria. harry Kane .Gareth bale ..maselo ..xavi .puyol..mascherano. Rooney. Gerald ..hazard .reyard mahrez ..tusidanganyane mkuu hao kina marcelo salas na Ivan zamorano...batistuta..wote nimewaona walikuwa niweupe mnoo katka usawa wahiki kizazi cha sasa ..huamini nenda Google ..tena hata sanachez hawakuwa wakimfikia hata robo..wakati unamcompare messi na kina.r.Rinaldo delima..wenzako waliopo dunia ya kwanza wanamuweka messi katk level ya miungu miwili ya soccer ulimwengu ..Pele na maradona..halafu usiwe unabishana bila fact nenda Google katizame takwimu zilizopo baina ya hao wachezaji uliowataja na hwa niliowataja mimi uwone niwapi waliokuwa nibora zaidi...
Anagaia beki za kipindi kile, nesta, cannavaro, ferdinand, Terry ,cuf, maicon, maldin, Campbell, puyol, samba matamba na deep midfielder vichaa kama akina gattuso, makelele, viera, alafu fananisha ni beki za saiv akina zuma, rojo, lovren, cavajall, and so on.. then ndo ujue usifie forwad ipi.. usisifie ana mbio sana wakat anakimbizwa na kobe.. kabla ya kusifia ana spidi au hana angalia kwanza anakimbizwa na nani?hiyo sasa ni chuki ..tena iliyotukuka yaani ukamafananishe overmass wiltod na angel de maria..hahaaaa hebu ONDOA ile kasumba yakuwa kila kitu chakale kilikuwa bora kuliko sasa ..maana hiyo kasumba ndio inayokuandama katka kichwa chako...hao wote uliowataja hapo hawajawahi kufunga hata goli 10 katk msimu mmoja achilia mbali uwezo wao wakutoa pasi za mwisho ulikuwa niuwezo dhaifu mnoooo...zaidi yakukimbia kimbia uwezo aliokuwa na overmass mwingine niupi ..sasa simara mia umtaje bekhamp..ijapo kuwa bado hakuwa na uwezo wakunyumbulika kama alionao de maria sasa au alionao Sanchez
Ahsante mzee.. tuwavumikie mashabiki wa man city hawa.. enzi hizo uefa ilikuwa uefa.bhanaDuuh kweli haujui soka dogo maana kama uwezo wa kupiga chenga kulikuwa na mabingwa wa kazi hiyo unakumbuka Jose Sapinto? Huyu alikuwa anamfanya beki mahiri Roberto Carlos asipande mbele na alikuwa anampita takavyo, kuna mtu alikuwa anaitwa Denilson unamkumbuka..... Mesi anapiga chenga wachezaji gani.. Ronaldo alikuwa akiwapiga vyenga mabeki viburi Mathias summer, Nesta, costacuta, Maldini, Canavaro Lillian, Thurman, Tony adams, Gary pallister, Stephen effern barg, bixente lizarazu... Mabeki wenye roho mbaya, mabeki wenye moyo wa chuma... Afu pia umesema Ronaldo amecheza na wachezaji wazuri hebu niambie tabu alipata Messi Barcelona... Alikuwa ana Xavi, Iniesta, Yaya toure, bosquet... Anashindwaje kufunga akiwa na master passer?... Twende Argentina ile wanaitwa golden generation....... Messi hajawahi kubeba Argentina zaidi ya safari hii... Sasa twende kwa Zidane alivyoibeaba ufaransa..... Zama za Kina Ronaldo walicheza timu zikiwa Imara kila idara na wachezaji mafundi walikuwa wengi mmno... Roberto baggio, romario, histro stoichkov, Ivan zamorano, Marcelo Salas, Pavel nedved, davor suker, Hakan sukur, del piero, toti, Andrea pirlo, Thierry Henry, rivaldo, Figo, rui Costa, fransceso coco, gaizka mendieta, Pablo aimar, Gabriel batistuta, Crespo, Denis bergkamp, Jan Koller, Mario basler, Mehmet scholl, jugern Klinsman, Ryan gigs, David ginola, Eric Cantona, Gianfranco Zola, Jay Jay okocha, Kaka,luis Enrique....... Kiujumla Messi ni mzuri hata Ronaldo Lakini hawajacheza kipindi ambacho kulikuwa na wachezaji Imara wakabaji hatari...
Wewe ni shabiki wa messi na sio mpira.. umeanza kushabikia mpira enzi messi akiwa kwenye ubora wake lakin bahati mbaya hukushabikia enzi wengine wakiwa kwenye ubora waoDuh! Wewe jamaa acha kudanganya watu humu na kufanya hawaujui mpira,,, yani de lima amzidi Messi huyu Messi!!! Au unakusudia messi wa mchangani!!! Gaucho na Messi wapi na wapi!! De lima na Messi wapi na wapi Ni kama tembo na sisimizi,,,,, mtake radhi huyu kiumbe ambaye hana mpinzani adi leo hii.
Ili wawe bora zaidi ya King Messi,,, kwanza kabisa wavuke kwa Diego Maradona, Zidane,de stefano, puskas,cruiff na kwa Pele.....baada ya hapo kama watakuwa wamevuka, so walinganishwe na Professor mwenyewe/MESSI......
kwa taarifa yako,,, hivyo vichezaji vyako vingekuwepo kipindi hiki visingeambulia chochote huo ndio ukweli halisi....
Ahsante sana bosi kwa mfano murua, hata huyo messi amecheza mechi nyingi na chelsea lakin hajawahi kuwafunga kwasababu walimuweka chini ya ulinzi hafurukutiNi kweli mkuu mfano mzuri Christiano Ronaldo alipokuwa kwenye peak hazungushi kwa Gatusso
Upo sahihi kabsa kwa ufafanuzi huualichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
Wewe ni shabiki wa messi na sio mpira.. umeanza kushabikia mpira enzi messi akiwa kwenye ubora wake lakin bahati mbaya hukushabikia enzi wengine wakiwa kwenye ubora wao
Lakini Messi Na Cristina wamefanya Mengi kuliko wao Except World Cup
Upo sahihi kabsa kwa ufafanuzi huu
compatation ni nini Mkuu?alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
acha kunitia njaa basi na maswali mapesi kama haya mkuu..swali kama hili kawaulize kolomije huko mkuucompatation ni nini Mkuu?