Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

ronaldo wivu tu ndio unamsumbua

NGOJA NIKUPE HII..MESSI NA CR7 NI WACHEZAJI WA LEVEL YA U GENIUS ..KINA DELIMA NA GENERATION YKE WALIKUWA NI WACHEZAJI WAKIWANGO CHA LEVEL YA KATI "
ndio maana wakati wao ulikuwa unaushindani kwa sbabu wachezaji wa level ya kati huwa wanakuwaga wengi tofauti na wenye level ya u genius...nimewaona hao wote wakicheza na hkuna wakunidnganya ..UWEZO aliokuwa nao FIGO .ZIDANE .DELIMA .RIVALDO .OWEN .KAKA .BECKAM ..NA UWEZO WALIO NAO KINA NEYMAR OZIL .ASENSIO .HAZARD .SANCHEZ ANGEL DE MARIA COUTINHO ..NI UWEZO SAWA TU WOTE NI WACHEZAJI WAKUBWA WENYE UWEZO WAVIWANGO VYA KATI ..ILA KILICHOPO SASA HAWA WACHEZAJI WALIOPO WAKIWANGO CHAKATI WANASHINDWA KUTOA USHINDANI KWAKUWA WANACHEZA KTK WAKATI MBAYA ULIOTAWALIWA NA HAWA MAGENIUS WAWILI MESSI NA CR7 ...kama wasinge kuwapo hao ma genius basii computation ya hao wachezaji niliokutajia ingekuwapo vile vile kama ilivyokuwa awali kwa kina delima
Hakuna mkuu
 
Unaongelea fainali ya 2002 kama benchmark yako kwa DeLima? Lazima huu uwe ni utoto. DeLima kacheza kwa mafanikio makubwa akiwa Barca kipindi hicho messi bado kinda kabisa. Akaondoka kwenda Inter Milan na kufanya yake huku akiwakabiri mabeki wenye utata na uwezo mkubwa kabisa katika soka. Hivi uliwahi hata kumsikia Paolo Montero, Maldini au hata Matias Summer? Uliwahi kumsikia Hassan Sasi na Kipa wake Rustu Receba wewe kijana? Waulize wote hao kuhusu huyu jamaa

Alichokiongea ni sahihi. Tena nampa 100%. Mkuu Wewe endelea kumnadi de lima ambaye level sawa na de maria ibracadabra,Suarez,Aguero, neimar mbappe and dybala
 
hahaaa asante but mimi cjapinga UWEZO wa DELIMA mkuu Nipo pamoja nawe ..but messi sio wa level ya sayari hii boss ..

Mkuu ulichokiongea sijui nikupe zawadi gani. Thank you so much. Messi hafananishwi na vitu vya kijinga.
 
alichokisema Rinaldo kinaukweli kiasi lakini niktika upande wa ushindani wakizazi chao...nasio katk ubora alionao messi ama cristiano ronaldo na wao...ktk hao aliowataja watu wanaopaswa kuingizwa ktk compatation ya baina ya messi na cristiano kwa mbali ni ronaldo mwenyew na zidane bhasiiii na bado ubora wao haufikii hata kwa messi..mtu aliyeweza kupiga goal 91 ktka msimu mmoja mtu aliyeweza kuchkua tuzo NNE bora ya fifa katika miaka mi4 mfululizo ..mtu ambaye ameivusha agentina nakuipeleka world cup tena kwa nguvu zake nzito kiasi Kile mtu ambaye amekuwa anafnya vyema kila baada ya miaka 2 ..waweza kumfananisha nahao kina delima..delima alikuwa nimchezaji mzuri mnoo lakini alizungukwa na wachezaji wazuri pia ktk team yao ya taifa...watu kama gaucho rivaldo na kaka huwezi acha kuwataja mbele ya mafanikio ya delima katk team ya taifa ..ukimtazama messi kuanzi upigaji chenga ..kasi ..uwezo wakutoa Pasi za mwisho mpaka uwezo wakuzifumania nyavu .hakuna wakumuweka level moja nae hapa....kiasi anajitahidi cristiano nanikatk upande wa magoli tu pekee ...lakini sio ukokotaji mpira wala upigaji chenga wla pasi za mwisho na jinsi ambavyo anaichezesha team
Mara kibao tumekuwa tunaona messi akiwa hayupo na barca NAyO haina pumzi..itazame barca ilivyoondokewa na neymar ..ilivyoondokewa na gaucho ..hakuna aliyetegemea kama itakuwa katk level hizi ..yote hiyo nikwaajili ya uwezo wa messi
zidane alikuwa anacontrol mnoo anapiga chenga pia na kuichezesha team pia...but hakuwa mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa kama messi hakuwa mwenye uwezo mkubwa wakupiga chenga watu wanne mpka wa tano kama messi ..hakuwa mfungaji bora hata siku moja ..hakuwahi kuwa nakasi kama messi..hakuwahi na pasi za mwisho nyingi kama messi...messi nimchezaji aliyetemia na uwezo wake dhidi hayo wachezaji waliotajwa hapo nivitu vinavyotengana kama maji na mafuta ..messi kawaacha mbali mnoo
umeanza vzr umemalizia kwa ujinga ukisema de lima alizungukwa na wachezaji wazuri wat abt mess??

kina xavi,,iniesta wote walikua na kaz ya kumlisha mess
 
Hakuna kama zizzou
wajua huwa sipndi kubishana bila fact aisee ..hakuna kama zizou waongea tu toka ktk kichwa chako ..wakati uefa wanamtambua kama mchezaji bora kuwahi kutokea anayeshika nafasi ya 4 kwa ulaya nyuma ya yohan cryf .Michele platin na c.Ronaldo ...
au hapa wataka kuniletea ma article yako ambayo kila mchezaji amesha wahi kuzungumziwa vizuri na hao magwiji hahaaa...sipndi mtu anayeongea bila fact inaboa kichizi...
umekuja na habari za DELIMA Nina kwambia hawezi kumfikia messi pindi wanaposimamishwa sehemu moja kisha kila mmoja afananishwe kwa mafanikio yake binafsi ..ukaanza kuleta quote za malegend ..wakati hizo quote za malegend wanao mzumgumzia messi ndio zimejaa kibao na mfano mmoja wapo nilikupa kuwa Buffon aliwahi kusema ilibidi ashikane na messi mkono ili kuweza kuprove kuwa ni binaadamu wa kawaida ..sikutaka kujaza wall kwakukuletea quote kibao hapa...sasa Hivi umemgeukia zizou tena wajibu hoja dhaifu katk hoja nzito ndio elimu uliyonayo inavyo kusaidia hvyo mkuu...

sitaki ubishane namm nataka upinge hvyo viwango vya wenye Mpira wa ulaya UEFA..tunapoelekea utakuja kusema kuwa wamepndelea hhahaa
 
umeanza vzr umemalizia kwa ujinga ukisema de lima alizungukwa na wachezaji wazuri wat abt mess??

kina xavi,,iniesta wote walikua na kaz ya kumlisha mess
hahaa zamani mlikuwa mnazungumzwa kuwa messi anabebwa na uwepo wa xavi na iniesta ..hahaa hoja hiyo ikaja kufa baada ya xavi kuhama na iniesta kuwa na majeruhi ya muda mrefu .mkaibua hoja nyingine kuwa mesi anabebwa na neymar daaahhh wabongo cjui tunalaana..sasa hvi neyamar kaondoka...lakini ndio kwanza huyo messi anaonekana kma ndio kazaliwa upya hahaaa barca daily inatoa vichapo na messi akiwa ndio anaongoza kwa ufngaji katk league nzima mpaka sasa
MUWE MNAJARIBU KUKUA BASIIII AGHHHHH MNABOA
 
Alichokiongea ni sahihi. Tena nampa 100%. Mkuu Wewe endelea kumnadi de lima ambaye level sawa na de maria ibracadabra,Suarez,Aguero, neimar mbappe and dybala
DeLima alijitangaza mwenyewe, mimi nnchofanya ni kuwakumbusha ili tusipotezane. Bahati nzuri nimeleta hapa kilichoko kwenye historia yake. Labda ungenisaidia kitu kipya ambacho kipo leo na DeLima hakukifanya. Gwiji huyo alikuwa na sifa zote unazoziona kwa Messi na CR7. Kukusanya kijiji, kupiga vyenga, kufunga magoli angani na ardhini tena kwa miguu yote. Mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa. Uwezo mkubwa wa kumiliki, kukimbia na kuchezea mpira na kote alikocheza alicheza kwa mafanikio makubwa sana.
 
Mkuu ulichokiongea sijui nikupe zawadi gani. Thank you so much. Messi hafananishwi na vitu vya kijinga.
hahaaa hawa team man u .na haha madridiot wanashida mkuu
nawala wasikuumize kichwa maana hata mitume ilipigwa mawe pia
 
wajua huwa sipndi kubishana bila fact aisee ..hakuna kama zizou waongea tu toka ktk kichwa chako ..wakati uefa wanamtambua kama mchezaji bora kuwahi kutokea anayeshika nafasi ya 4 kwa ulaya nyuma ya yohan cryf .Michele platin na c.Ronaldo ...
au hapa wataka kuniletea ma article yako ambayo kila mchezaji amesha wahi kuzungumziwa vizuri na hao magwiji hahaaa...sipndi mtu anayeongea bila fact inaboa kichizi...
umekuja na habari za DELIMA Nina kwambia hawezi kumfikia messi pindi wanaposimamishwa sehemu moja kisha kila mmoja afananishwe kwa mafanikio yake binafsi ..ukaanza kuleta quote za malegend ..wakati hizo quote za malegend wanao mzumgumzia messi ndio zimejaa kibao na mfano mmoja wapo nilikupa kuwa Buffon aliwahi kusema ilibidi ashikane na messi mkono ili kuweza kuprove kuwa ni binaadamu wa kawaida ..sikutaka kujaza wall kwakukuletea quote kibao hapa...sasa Hivi umemgeukia zizou tena wajibu hoja dhaifu katk hoja nzito ndio elimu uliyonayo inavyo kusaidia hvyo mkuu...

sitaki ubishane namm nataka upinge hvyo viwango vya wenye Mpira wa ulaya UEFA..tunapoelekea utakuja kusema kuwa wamepndelea hhahaa
poa , hivyo viwango wa uefa viko wapi mkuu ? FIFA inamtambua zizzou kama mchezaji bora wa tano kuwahi kutokea, kuna pele ' diego,crufy, ....., zizzou
 
DeLima alijitangaza mwenyewe, mimi nnchofanya ni kuwakumbusha ili tusipotezane. Bahati nzuri nimeleta hapa kilichoko kwenye historia yake. Labda ungenisaidia kitu kipya ambacho kipo leo na DeLima hakukifanya. Gwiji huyo alikuwa na sifa zote unazoziona kwa Messi na CR7. Kukusanya kijiji, kupiga vyenga, kufunga magoli angani na ardhini tena kwa miguu yote. Mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa. Uwezo mkubwa wa kumiliki, kukimbia na kuchezea mpira na kote alikocheza alicheza kwa mafanikio makubwa sana.
hahaaa acha masihara basiii kitu kipya hukijui kweli ..kitu kipya ni Rinaldo na messi kuwa wafungaji wa uefa wa muda wote while delima nae kacheza ulaya pia..kitu kipya ni messi kupiga goal 91 za ndani ya msimu mmoja record iliyoweza kuvunjwa baada yakupita miaka 20,,kitu kipya ni cr7 kuwa mfungaji wa muda wote wa r.Madrid wakati hao kina figo nao walicheza hapo hapo..kitu kipya ni messi kuwa mfungaji bora ktk ligi ya Spain nakuweza kuvunja rec .ya zara iliyokaa zaidi ya miaka 20..aiiiseee hvi wewe ndio wale wanaotajwa kuwa na macho lakini hawaoni au ??
 
Kwa Kukokota mpira kwa kasi na kuwa na nguvu eneo la kumi na nae de lima anaongoza, akifuatiwa na George weah , yaani hawa jamaa wanaweza kupita kwa beki yoyote bila ya kudondoka
 
poa , hivyo viwango wa uefa viko wapi mkuu ? FIFA inamtambua zizzou kama mchezaji bora wa tano kuwahi kutokea, kuna pele ' diego,crufy, ....., zizzou
hahaaa mkuu wamjua SOCRÀTES wewe ..maana naona Moira umeanza kuufuatilia katk generation ya kina zizou hahaaa
FIFA na wachambuzi wrote wanatambua kuwa messi yupo kwenye lvl ya ule utatu mtakatifu ..hiyo rec.yko umeitoa wapi mkuu..mbona waleta mazingaombwe daahh yaani mchezaji anayesimama katk nafasi ya 4 kwenye wachezaji bora wa ulaya awe mchezaji namba 4 kuwahi kutokea kisha ampite Rinaldo 7 katk list ya dunia..lol hold my beer plss
 
hahaaa acha masihara basiii kitu kipya hukijui kweli ..kitu kipya ni Rinaldo na messi kuwa wafungaji wa uefa wa muda wote while delima nae kacheza ulaya pia..kitu kipya ni messi kupiga goal 91 za ndani ya msimu mmoja record iliyoweza kuvunjwa baada yakupita miaka 20,,kitu kipya ni cr7 kuwa mfungaji wa muda wote wa r.Madrid wakati hao kina figo nao walicheza hapo hapo..kitu kipya ni messi kuwa mfungaji bora ktk ligi ya Spain nakuweza kuvunja rec .ya zara iliyokaa zaidi ya miaka 20..aiiiseee hvi wewe ndio wale wanaotajwa kuwa na macho lakini hawaoni au ??
Umesoma hizo goli 47 kwa game 49? Piga average halafu piga na hizo zako. DeLima kaweka rekodi kwenye ligi mbalimbali kwa maana ya magoli na kikubwa ni rekodi katika WC ambayo CR7 na Messi wanajukumu la kumfikia Kiongozi wao huyu. Jukumu hilo walifanye vizuri WC hii huko kwa Putin. Kinyume na hapo watuachie Legend awaambie soka ni nini. DeLima[emoji123]
 
hahaaa hawa team man u .na haha madridiot wanashida mkuu
nawala wasikuumize kichwa maana hata mitume ilipigwa mawe pia
Umesikia ,messi ule mchano aliowachana MAN U mpaka ferguson akatetemeka, de lima zile ndio zilikuw zake, ndio maana mabeki walikuwa wanamuumiza magoti, (mimi sipo kwenye ubishani wa nani Zaidi ), hila mi naona wachezaji mpira wa sasahivi ni soft kuliko wa zamani)
 
hahaaa mkuu wamjua SOCRÀTES wewe ..maana naona Moira umeanza kuufuatilia katk generation ya kina zizou hahaaa
FIFA na wachambuzi wrote wanatambua kuwa messi yupo kwenye lvl ya ule utatu mtakatifu ..hiyo rec.yko umeitoa wapi mkuu..mbona waleta mazingaombwe daahh yaani mchezaji anayesimama katk nafasi ya 4 kwenye wachezaji bora wa ulaya awe mchezaji namba 4 kuwahi kutokea kisha ampite Rinaldo 7 katk list ya dunia..lol hold my beer plss
Mkuu nilizoma somewhere hila sikumbuki vizuri
 
hahaaaa sasa thirty henry Mani mbele ya mtu kama Pele amabaye amekuwa akisema kuwa messi he is a alien...hizo quote unazo zileta humu zipo kibao zinamuhusu messi so ondoa huu ujinga hapa tuzungumze kwa fact khaaa

Buffon ameshawahi kusema alikuwa haamini kuwa messi ni binaadamu wa kawaida mpka pale alipowahi kushikana nae mikono ..upo hapo
Huu wa Buffon nadhani ni ujinga wa ujinga wa mwafrika kushika kinyesi cha mzungu anuse - akidhani kinyesi cha mzungu hakinuki. Ni golikipa gani bora enzi za DeLima hakuonja shubiri. Umemtaja Rivaldo hapa kuwa alimbeba sana DeLima. Unakumbuka kwa Rivaldo alipoogopa kumfunga Kipa wa Uturuki back 2002 DeLima alimfunga kipa huyo kwa upigaji wa aina ya Romario? Unalijua hili lakini? Hivi nje ya Barca bana Messi amewika wapi hasa. Ukumbuke hilo yako mafanikio ya Club yanayombeba mchezaji na yako mafanikio ya mchezaji yanayobeba Club.
DeLima kafanya yote kila alipoenda. Hili liko wazi kwenye Profile zao
 
sasa wataka messi ahame barca aende katk club..ipi zaidi ya barca na Madrid ...maana hizo ndio club kubwa zinazo worth thamani yake ..sio yakipesa but kiuwezo wa falsafa as club...halafu mkuu una asili ya ubishi sna kwahiyo hoja ya Buffon umeiona yakipuuzi kisha wataka niiamini hoja yako wewe ambaye ukipewa mpira upige jpo Dana Dana 50 huwezi ila unadiriki kumbeza mtu ambaye ni gwiji katk huo mchezo...acha masihara basiiii nataka utoe mafanikio aliyoyapata Rinaldo as individual player ambayo yanamzidi messi na cr7..achana na blahh blaahhh hizo sio sifa za msomi
 
Back
Top Bottom