Ronaldo delighted with 'NBA style' winner

Ronaldo delighted with 'NBA style' winner

Pongezi ziende kwa serikali ya jamuhuri ya ureno na raisi wake
 
Siku hizi akifunga tu lazima tujue unaambiwa....muda unakimbia sana
 
Maana hii sio habari mkuu
IMG_20191219_072856.jpg

Siku hizi akifunga tu lazima tujue unaambiwa....muda unakimbia sana
 
Mwanamke mwenzangu hawezi kunivua hivyo
Purukushani za hivyo zaweza tokea popote pale.... Mfano kwenye daladala wakati wa jioni..... Au hata mtu akiwa anaelekea kuteleza kama upo adjacent nae anaweza kukushika ili kupata support na akakuvua bahati mbaya...hivyo hayo mambo mara nyingi hutokea bila kutegemea...
Hata hivyo wanawake hawafanyiwagi hivyo na wanawake wenzao😊😊😊🏃🏃🏃🏃
 
Kaka Cristiano umeanza kumtazama lini? Yn unasema hawezi funga magoli ya uwezo binafsi? Labda kama umesema kiushabiki.. au uwezo binafsi lina maana tofauti na wengine tunaovjua.. " hahitaji skills ya assistor kuscore " unajua ktk magoal ya messi kuna assist ngapi za wengine? [emoji23]
Ronaldo ni mrefu na hard work ndo mana magoal ya namna hyo anafunga Sana...
Messi anafunga magoli ya uwezo binafsi , hahitaji skills ya assistor kuscore...goal la namna hii Ronaldo Hawezi ( hii inaitwa solo goal , yaani pasi ya Mwisho haina umhimu wwte Zaid ya uwezo binafsi wa mfungaji)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsene wenger anamwita complete player,,, anascore goal nying na ku assist,,, Nani Zaidi ya Messi
 
Kaka Cristiano umeanza kumtazama lini? Yn unasema hawezi funga magoli ya uwezo binafsi? Labda kama umesema kiushabiki.. au uwezo binafsi lina maana tofauti na wengine tunaovjua.. " hahitaji skills ya assistor kuscore " unajua ktk magoal ya messi kuna assist ngapi za wengine? [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nazungumzia solo goal , go and fnd the meaning buddy, mfano hlo goal nililoliweka hapo Ronaldo Hawezi kufunga la hvo haweziiii, Christiano ni magic katika goal position , ni finisher mzuri na Yuko talented Kwa hlo , but about solo goal mtoe , narudia tena kuliweka hili goal iliangalie vizur
 
Attachments

  • Cutter_191219092734.mp4
    3.3 MB
Back
Top Bottom