Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jambo linaweza kutokea hata kwa mtu kama wwMaana hii sio habari mkuuView attachment 1297353
Purukushani za hivyo zaweza tokea popote pale.... Mfano kwenye daladala wakati wa jioni..... Au hata mtu akiwa anaelekea kuteleza kama upo adjacent nae anaweza kukushika ili kupata support na akakuvua bahati mbaya...hivyo hayo mambo mara nyingi hutokea bila kutegemea...Mwanamke mwenzangu hawezi kunivua hivyo
Cr7 baba laooooooKama Jumper za NBA zile unaassist kama inapita goli unashangaa mtu kaiunga juu kwajuu huko Cleveland walikuwa wanazipiga sana hizo.
Humjui kifuu?
Anaweza akaruka hata na mikono bado mpira ukawa uko juu zaidi asifikiemipira kama hiyo yule kirikuu anatia mikono
Ronaldo ni mrefu na hard work ndo mana magoal ya namna hyo anafunga Sana...
Messi anafunga magoli ya uwezo binafsi , hahitaji skills ya assistor kuscore...goal la namna hii Ronaldo Hawezi ( hii inaitwa solo goal , yaani pasi ya Mwisho haina umhimu wwte Zaid ya uwezo binafsi wa mfungaji)
Kabisa mkuu, sijaona pele aliporuka 2.6 wansema amefanya amefanya wapi ila hatuoni.huyu pele anakuzwa mno bila sababu>>
hajafikixh hata ballon'dor 3,,,anakuaj? Zaidi ya Messi na Cr7
Hivy hivy,,, coz, Pele hamfikii hata Johan cruijfhuyu pele anakuzwa mno bila sababu>>
Arsene wenger anamwita complete player,,, anascore goal nying na ku assist,,, Nani Zaidi ya MessiRonaldo ni mrefu na hard work ndo mana magoal ya namna hyo anafunga Sana...
Messi anafunga magoli ya uwezo binafsi , hahitaji skills ya assistor kuscore...goal la namna hii Ronaldo Hawezi ( hii inaitwa solo goal , yaani pasi ya Mwisho haina umhimu wwte Zaid ya uwezo binafsi wa mfungaji)
Kila zama na kitabu chake.hajafikixh hata ballon'dor 3,,,anakuaj? Zaidi ya Messi na Cr7
Mi nazungumzia solo goal , go and fnd the meaning buddy, mfano hlo goal nililoliweka hapo Ronaldo Hawezi kufunga la hvo haweziiii, Christiano ni magic katika goal position , ni finisher mzuri na Yuko talented Kwa hlo , but about solo goal mtoe , narudia tena kuliweka hili goal iliangalie vizurKaka Cristiano umeanza kumtazama lini? Yn unasema hawezi funga magoli ya uwezo binafsi? Labda kama umesema kiushabiki.. au uwezo binafsi lina maana tofauti na wengine tunaovjua.. " hahitaji skills ya assistor kuscore " unajua ktk magoal ya messi kuna assist ngapi za wengine? [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app