Awiaman ooza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 512
- 866
Wakuu za sahizi,
Nadhani mnakumbuka lile tukio lililofanyika 2021, la mchezaji cr7 alivyokuwa akihojiwa na akasogeza chupa 2 za coca akasema tutumie maji
Basi asee juzi kati hapa nimepitia baadhi ya threads humu nikakuta watu wanasema bidhaa za mo extra ya kuwa zina athiri maini
Na jinsi gani watu wanavyozifakamia kila leo itoshe kusema tu hizi soda sio nzuri kwa afya zetu wakuuu tuige mfano hata kwa staa wetu cr7
Na kama una adddiction kama yangu basi ni bora ukavitumia kwa moderation tu usifakamie kama ndo chakula sasa hayo maini, yataoza na utakufa tu kama huyu warumi.
#NOT HUO NI USHAURI WANGU TU HULAZIMISHWI KUUFUATA# PICHA KUSINDIKIZA THREAD 👇👇👇👇👇