Ronaldo hakuwa mjinga kusogeza pembeni chupa 2 za cocacola

Ronaldo hakuwa mjinga kusogeza pembeni chupa 2 za cocacola

"Na kama una adddiction kama yangu basi ni bora ukavitumia kwa moderation tu usifakamie kama ndo chakula sasa hayo maini, yataoza na utakufa tu kama huyu @warumi." Isome hii paragraph mara mbili, ungeweza kuandika bila kuhusisha majina ya watu.

Moderators mpo wapi?
 
Naona unamtetetea huyo choko mwenzako aliyekufa vipi alikuwa ndugu yako nn 🤔🤔
 
Sawa wewe hunywi haya tuambie Huo mwili unamtunzia nani akaufaidi huko kaburini
 
Soma terms za Jamiiforums kuhusu privacy ya mtu kisha urudi hapa ku-comment
Hizo terms nazijua sana

Ila mfu ni mfu tu hatakaa arudi tena huku duniani yy tayari ni udongo hana chake huku

Acha niwaelimishe watu
 
Utakufa kwa ajali kama haizitakuua junk foods,,,Yaani kiufupi kufa kupo tuu,,,unataka uishi miaka mia mbili kwani wewe kobe???wakina adamu wenyewe inavyosemekana waliishi miaka mia sita huko na bado wakafa,,cha msingi ni kila kitu kufanya kwa kiasi basii!!
 
Ukiachana na inni, Athari kubwa ya soda (soft drinks) ipo kwenye mifupa, husababisha kitu wanaita "Low density bones"
Mtu mwenye hii condition kuvunjika ni rahisi sana, condition ikizidi hupelekea ugonjwa unaitwa osteoporosis..
Kitambo veta, aspertame chemical sustance thay is 150 sweeter than sugar tend to absorbe the calcium from your bone kama nakumbuka lakin
 
Utakufa kwa ajali kama haizitakuua junk foods,,,Yaani kiufupi kufa kupo tuu,,,unataka uishi miaka mia mbili kwani wewe kobe???wakina adamu wenyewe inavyosemekana waliishi miaka mia sita huko na bado wakafa,,cha msingi ni kila kitu kufanya kwa kiasi basii!!
Sawa mpumbavu endelea kufakamia tu ufe tule pilau yetu 😀😅
 
Back
Top Bottom