Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
nakubaliUko vizurii... Veta yako bado haijapoteaaa😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubaliUko vizurii... Veta yako bado haijapoteaaa😄😄
nakubaliUko vizurii... Veta yako bado haijapoteaaa😄😄
Mda flani mpaka unaogopa mala usile broiler chicken.....usile mboga mboga zinazo limwa kando ya mito DSM....mara usile Dona....kula sembe...maana Dona huifadhiwa na madawa YENYE Sumu...Wakuu za sahizi,
Nadhani mnakumbuka lile tukio lililofanyika 2021, la mchezaji cr7 alivyokuwa akihojiwa na akasogeza chupa 2 za coca akasema tutumie maji
Basi asee juzi kati hapa nimepitia baadhi ya threads humu nikakuta watu wanasema bidhaa za mo extra ya kuwa zina athiri maini
Na jinsi gani watu wanavyozifakamia kila leo itoshe kusema tu hizi soda sio nzuri kwa afya zetu wakuuu tuige mfano hata kwa staa wetu cr7
Na kama una adddiction kama yangu basi ni bora ukavitumia kwa moderation tu usifakamie kama ndo chakula sasa hayo maini, yataoza na utakufa tu kama huyu warumi.
#NOT HUO NI USHAURI WANGU TU HULAZIMISHWI KUUFUATA# PICHA KUSINDIKIZA THREAD 👇👇👇👇👇View attachment 2598814
Ni kweli... Lakin kilicho ndani ya uwezo wako unaweza kukiepukaMda flani mpaka unaogopa mala usile broiler chicken.....usile mboga mboga zinazo limwa kando ya mito DSM....mara usile Dona....kula sembe...maana Dona huifadhiwa na madawa YENYE Sumu...
Usile MBUSUSU a k.a PAPUCHI Kwa Kasi bila taadhali utapata HIV/AIDS.....
Usinywe pombe....usivute sigara....
Mara kipindu pindu Dar es salaam (Cholera pandemic in Dar es salaam)
Taadhari ni nyingi sana jamaani... MWENYEZ MUNGU ATUREHEMU NA ATUHURUMIE...
Kwa kweli ila afya njema inataka uwe na principal za maisha mkuuuuMda flani mpaka unaogopa mala usile broiler chicken.....usile mboga mboga zinazo limwa kando ya mito DSM....mara usile Dona....kula sembe...maana Dona huifadhiwa na madawa YENYE Sumu...
Usile MBUSUSU a k.a PAPUCHI Kwa Kasi bila taadhali utapata HIV/AIDS.....
Usinywe pombe....usivute sigara....
Mara kipindu pindu Dar es salaam (Cholera pandemic in Dar es salaam)
Taadhari ni nyingi sana jamaani... MWENYEZ MUNGU ATUREHEMU NA ATUHURUMIE...
Tunataka kuwa na afya njema ili tusife mapemaKwahio mnataka mfe mkiwa na afya njema??
Hapana tunataka tufe tukiwa na mkojo wa ukutaKwahio mnataka mfe mkiwa na afya njema??