Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford.
Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo mkubwa, lakini kwa kuwa hakucheza, aliondoka kwenye mchezo kabla ya filimbi ya mwisho, hakusherehekea na wenzake. Hii inaenda kupoteza heshima ya goat kama huyu japo ana rekodi za kutisha.
Ukitazama enzi za Maradona na Pele wakati Maradona yupo hai, hakutumiwa sana na FIFA kutokana na mtindo wake wa maisha japo alikuwa mkali sana enzi anapiga mpila uwanjani.
FIFA icon yao ilikuwa na bado ni Pele, sasa naona ili suala linaenda kujirudia tena miaka ya hivi karibuni. FIFA itampa nguvu sana Messi kuliko Cr7 kutokana na tabia zake. Ni wakati wa kujirekisha sasa.